@mwanaspoti: Unamkaribisha mgeni vizuri kabisa, unamuuliza, “Nikununulie soda?” Anakujibu, “Bora unipe hiyo mia saba yangu!” 😂 Hii imekaaje wakuu, mgeni wa aina hii mnamchukuliaje? ✍️|| @uswege_danken #SourceNiSisi #mwanaspotiupdates #tunawezeshataifa