@hekimakimola: Karibu Tukusaidie 1. Kusajili Kampuni na uendeshaji wake kwa ujumla ie.Kodi 2. Kusajili Jina la Biashara,Leseni za Biashara, trademark 3. Jinsi ya Kuanzisha na Kukuza Biashara 4. Jinsi ya kuagiza bidhaa mbali mbali kutoka nje 5. Mafunzo ya Usimamizi wa Kampuni na kuendesha kampuni kama system 6. Elimu ya kutumia kipaji na mitandao ya kijamii kutengeneza kipato 7. Jinsi ya kugundua kipaji chako 8. Kukuagizia bidhaa mbali mbali kutoka China🇨🇳, Dubai🇦🇪, Uturuki🇹🇷, USA🇺🇸 & India🇮🇳 Kuja Tanzania🇹🇿 9. Muongozo wa maandalizi ya muhimu kabla ya Kwenda China ✅️ GHARAMA ZETU ZA USAJILI 1. Jina la biashara 60,000/= gharama zote zimekuwa included 2. Kampuni 400,000/= kama Facilitation Fee ✅ Control no ya kulipia Ada ya usajili utalipia mteja na ina range kuanzia [Tsh 95,000 - Tsh 1,000,000/=] inategemea na mtaji unaotaka kuanza nao. ✅️ UKISAJILI NASI KAMPUNI UTAPATA HIZI SERVICE FREE 1. Ushauri kuhusu namna ya uendeshaji wa kampuni kwa FAIDA na jinsi ya kukuza kampuni yako 2. Ushauri kuhusu maswala ya KODI ili uweze kuepuka faini mbalimbali zinazoweza kujitokeza wakati wa uendeshaji wa Kampuni yako Mawasiliano WhatsApp: 0763800939. #kampuni #biashara #company #biasharatiktok
hekimakimola
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 15:28:12 GMT
Music
Download
Comments
MICHAEL KIMOLA :
Very informative.
2026-11-28 17:40:25
0
MUMAKI :
asante boss
2026-11-29 04:36:34
0
Urban Edge Phones :
🔥🔥🔥🔥
2026-11-28 18:56:38
0
stide :
🔥🔥🔥
2026-11-28 19:41:53
0
To see more videos from user @hekimakimola, please go to the Tikwm
homepage.