mim ndo nime screenshot hiki ulichopost ww nikanunue😂
2026-11-29 08:52:45
7
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Mi nimekiweka chumbn nawekea nguo za mtoto😂😂😂😂
2026-11-29 08:21:33
10
𝕽𝖆𝖓𝖉𝖞 ²¹ ♌️ :
Kwaio nyanya,viazia hoho,karoti na vitunguu bas na matunda huwa mnaweka wap wenzetu🤣
2026-11-29 09:49:51
5
Cute_chimamy61❤️ :
Ndo nimetoka kukioosha apa leo king’aa vipee😂😂
2026-11-29 09:26:20
2
Lulu🦋🦋 :
Niliamua tu nikifunge nikiweke pemben kuepusha aibu ndogo ndog😂😂😂 Mama angu aliniuliza na hili tenga la nyanya vip
2026-11-29 09:31:04
2
Dida :
yangu iko kitchen..for spices jars.😂😆
2026-11-29 09:50:17
0
Widah :
hiyo ndo Dressing table yangu acha fezea 😂😂
2026-11-29 10:06:21
0
Mimi👑👑 :
vyombo niweke kitandan sindio
2026-11-29 07:45:20
6
@last born💞💞 :
acha bna mi ninacho mbna 😂😂
2026-11-29 06:55:54
0
Nay_cute💞 :
juu nimeweka madeli ya mchele cha pil nimeweka masufuria na miiko ya mbao,cha3 nimeweka vitunguu maji,tangawiz na saum cha chin nawekaga viaz vya chips na ndizi mzuzu💃🏻💃🏻
2026-11-29 10:39:03
2
Nandu wanzelu :
weweeee 😂😂😂
2026-11-29 10:05:29
0
Only one ,MUNUO💕🔐 :
me ninavyo viwili , cha vyombo na cha jioni . sijui unanisemaje apo😂😂
2026-11-28 20:36:20
7
🍏🍏Salma🦋🦋 :
me nnacho Cha brie😂
2026-11-29 10:25:45
0
BAFANAog :
daaah wenzangu wanaekea vyombo mm nawekea nguo chafu ndio najua kaz yake
2026-11-29 09:09:34
1
DAUD RWESA :
watu mna nn jaman tumiliki nini sasa ili nasisi tuwe wa kishua mbona mm ninavyo viwili
2026-11-29 10:06:53
2
Carry 💋 :
nilipewa nikakikataa Bora vyombo vikae kwenye beseni 😂😂