halafu SPAIN inahusiana vipi na vita, Munamvunja moyo Rais , muwe wakweli
2026-11-29 03:31:43
0
majidzahor :
mwana mama yuko fasaha mno ! sabab za vita ni msingi wa tatizo kweli mbona ! apo dubai mzigo saiv kufika hapa ni miez minne yaan naskia bora mzigo kutoa China unafika zanzibar mapema kuiko dubai !
2026-11-28 19:44:41
1
Kadhiya Zaidi :
nimependa mwanamama anaeleza vizuri
2026-11-28 19:20:03
3
ahb :
yaani huyu dada anatakiwa ndio awe waziri hasa ...yuko vizuri sana
2026-11-28 19:56:14
2
safiha :
Kwan wanajenga nn apo
2026-11-29 04:48:17
0
Zanzibar_one :
unaweza kuuliza material gan ? utaskia nondo na saruji
2026-11-29 04:48:51
0
al darary :
Mh Dkt Hemed kaa na wafanyabiashara pia na wao wasikilize na wananchi pia
2026-11-29 03:15:07
0
pacome :
Kwani hamjui kama bandarini kuna uozo ? Wafanyabiashara siku zote wanalalamika hamjataka kuwasikiliza
2026-11-29 02:22:49
0
ALAWI SAID :
kuweni wakweli hakuna meli inayokaa wiki 2,3,4,5 hiyo ilikua zamani ndugu
2026-11-29 03:29:21
0
To see more videos from user @mhe.cde.s.s.ahmed, please go to the Tikwm
homepage.