dawa kufukuza hamna kitu wachezaji wakawaida sema tuu hamlijui
2026-11-28 18:44:17
4
Jackson Mhipa Gilbart :
mcjali mtawafunga Namungo
2026-11-28 17:34:03
15
maulid mlish ✌️ :
tuwape dumbiaaa
2026-11-28 18:12:21
11
Ney💛♥️💙 :
me nilijua coach kumbe wachezaji 🤣🤣
2026-11-28 19:05:06
2
Maulidwandela :
Ukweli usemwe yanga ya msimu huu haina ubora kama ule wa misimu minne nyuma, na shida ilianzia kwenye usajili wa wachezaji na makocha, okelo alikua Bora kuliko Aziz k
2026-11-28 17:26:26
5
SAMU IOO% :
TUNGEKUWA WATU WOTE TUNAAKILI TIMAM NANI ANGESHABIKIA YANGA JAMANI?
2026-11-28 17:35:43
4
Phillywizzy Williams :
mbona Mimi sisemi kama Yanga mbovu
2026-11-28 17:14:01
9
user8729062975343 :
1- Aziz ki asipige kona.
2-Leo wamecheza km wamefungwa kamba za miguu, wachezaji hawana morali.
3-Mmeona Zamalek vs Club African ni mbio mwanzo mwisho mashambulizi mwanzo mwisho😳
2026-11-28 18:49:17
1
Jackson Elias :
Kweli na usije ukaiweka simba hapo
2026-11-28 17:09:45
4
maulid :
Mdadhir ndio shida kabisa anapenda kuludisha mipira nyuma kacheza ovyoooo yan sio mbunifu wakusonga mbele
2026-11-28 17:24:26
7
Aduo the bady :
muda atoke yanga akacheze jang"o.be
2026-11-28 18:09:00
3
Jacob Simbeye :
wachezaji wamezingua sana leo
2026-11-28 18:35:23
1
Mr. UNEGRITUDE :
YANGA ATAMALIZ NA PONIT 6 AU 4 ,, NA AKZUBAA ATAPA 1 AU 3 ZA AFRICAIN TU 😅😅WENGNE WOTE ATABONDWA HOME VS AWAY😬😬😬😬 tunza hii msg2027 utanambya
2026-11-28 18:05:41
1
Robert 🇹🇿🙏 :
Wameboronga mno nimechukia mno leo mpira gan sasa
2026-11-28 18:41:59
1
bertha malekela :
X-factor
2026-11-28 17:10:18
1
Fetty :
mbona hamnajema wamepambana muwe nashukurani mimi niyanga Lilalia sijaumia hata kidogo muwe mnabakisha maneno
2026-11-28 17:04:29
1
arongeorge :
yanga bingwaaaa☺️☺️
2026-11-28 18:00:29
1
Mo Mipesa :
tatizo sifa zimezid sana
2026-11-28 18:12:50
0
Anordy Mkellha :
unamtegemeaje shemeji yako
2026-11-28 19:02:59
0
Tinechrist🤌🫶 :
ndio tunazitaka
2026-11-28 19:13:04
0
Hyper six Next Level :
rais wa yanga tunataka mabadiliko drisha foho
2026-11-28 19:12:43
0
Ismail Chipyangu :
bro🤭🤔
2026-11-28 19:14:56
0
HARUNA RS :
sawa mwananchi naungana wewe bro
2026-11-28 19:08:46
0
akram :
x factor
2026-11-28 17:13:35
0
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm
homepage.