@mohamedhafidh_tz: 🔒 UMESHAIONA ALAMA YA KUFULI KWENYE WHATSAPP STATUS? Unajua inafanya kazi gani?👀 Kuna sehemu mpya ambayo imezua maswali mengi kutoka kwa watumiaji wa WhatsApp. Ukibonyeza alama hiyo ya 🔒, unafunguliwa sehemu ya Status Privacy yenye mipangilio mbalimbali ya kudhibiti status zako. Katika video hii nimeelezea: ✅ My Contacts ✅ My Contacts Except ✅ Only Share With ✅ Close Friends 💜 ✅ Allow Sharing ✅ Share Across Apps Unajifunza namna ya kuchagua watu wanaoweza kuona status zako, kuruhusu wengine kushare status zako na hata kusimamia usambazaji wake kwenye platforms nyingine. Usitumie WhatsApp kwa mazoea tu, jifunze kutumia features zake vizuri! 👇 Je, ulikuwa unajua matumizi ya alama hiyo ya kufuli kabla ya video hii? #whatsapptips #whatsappfeatures #storywhatsapp #TechTips #fypシ