@surveyor_mligo_simon: Ni Rahisi sana , kupata makadirio ya kodi na kulipa kodi ya pango la ardhi kupitia simu yako ya mkononi. Wana SMS Tukumbuke tarehe 31/12 ndio mwisho wa kulipa kodi hii bila Penati au riba , baada ya hapo adhabu zitaanza kutolewa kadiri unavyoendelea kuchelewa kulipa kodi hiyo, tỉmiza wajibu wako mmiliki wa ardhi , lipa kodi ya ardhi kwa wakati. Naitwa SMS Umenifollow? Naomba nipigie kwa 0753846754 #landrent #kodiyaardhi #elimuyaardhi #mtaalamuwaardhi #hatimiliki