@hardin_vegas: Fally Ipupa kashusha breki kisa stage chafu! Aligoma kuendelea mpaka pawe sati, akishangaa kwanini hakukusafishwa kabla hajafika. #tanzania #pourtoi #fallyipupa01 #aigle🦅 #hardinvegastv

HARDIN VEGAS TV
HARDIN VEGAS TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 03:30:53 GMT
87795
9713
266
173

Music

Download

Comments

user5441323657478
BLAISE Z 1973 :
fan de ferre quand tu vois tu sais
2026-11-29 05:13:39
65
tzmajengo
tzmajengo :
nikisema tangu juzi huyu jama anadharau sana
2026-11-29 06:16:19
9
father.gang
PÈRE CONGO :
wivu wa mshabiki wa Alikiba kwenye show ya Diamond. uyo ni mshabiki wa ferré Gola
2026-11-29 05:22:57
63
elvis_dan1
Elvis Dan :
Ndugu zangu wa Tanzania, naomba niwaeleze jambo moja. Huko Congo 🇨🇩 kuna ushindani kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola. Kila msanii ana mashabiki wake ambao wakati mwingine wanajaribu kumchafua msanii mwingine. Huyu mtu ni shabiki wa Ferre Gola na anajaribu kumchafua Fally Ipupa. Kwa hiyo, nawaombeni msimpe nafasi wala msimsikilize. Fally anaiheshimu sana jamii ya Watanzania. Ahsanteni sana kwa upendo wenu! ❤️🇹🇿🇨🇩
2026-11-29 06:14:27
32
ninalacharismatique
Nina la plus charismatique❤️♾️ :
We Mbuji
2026-11-29 05:05:08
9
chrispin.34
chrispin✅ :
atukujuwe sisi wa Congo 🇨🇩
2026-11-29 05:36:37
7
justincourageo
JUSTI£🇿🇦🇹🇿🇨🇩🇿🇲💊 :
Little bit not dirt that is clear
2026-11-29 20:04:40
0
missyoriyorilove
Miss Yori ❤️ :
Nimeona haibu Jamani 😂😂😂 wakenya watatusema 😂😂😂😂
2026-11-29 05:13:59
16
jeremiah29523
Jeremiah :
l'ennemie d'un congolais c'est un congolais lui même
2026-11-29 04:11:22
158
benmwamba
BM :
usha lewa baba
2026-11-29 11:57:41
8
tibasimachristian
Tibasima christian :
Naza Golois mais ndeko osali mabe n'est jamais trahi le Congo
2026-11-29 05:44:42
13
sweetiilluh
Sunny-illu😜🥰 :
Mbona sisi hatuja kasirika mnatulazimisha tukasirike
2026-11-29 13:24:10
4
alain.kabanga63
Alain kabanga :
Ferre Gola merci nayo pona banto nayo
2026-11-29 10:56:39
6
nyasafarmhouse
nyasafarmhouse :
Mbona mnapenda kukuza mambo! Stage chafu asiseme? Shida ipo wap. Hataki kucheza kwenye uchafu. Hii nchi mnapenda kulalamika kila jambo
2026-11-29 05:53:57
15
warom25
Jimkani :
Are you sure
2026-11-29 18:47:47
0
mamasifa40
Emmy 🥰 :
Katukosea bahna
2026-11-29 19:03:16
0
moyokangitsi
moyo guitar :
fally doit boncoup travailler
2026-11-29 15:25:06
0
busangilabad
Patie :
Oui c’est vrai même moi je ne pas aimé sa ata chow ijawa sawa alikuwa akiimba kama ataki sijapenda
2026-11-29 09:09:50
1
mumparadis1
Mum paradis :
Tuka pale golois
2026-11-29 12:55:39
2
amanikituza285
feza :
sisi wa congo niwa safi bwana
2026-11-29 19:56:43
1
mosesricha
la maman de 3 filles :
uyu apa ni shabiki wa ferre msije ni shukuru
2026-11-29 11:12:03
2
mrsdm42
mrs dm❤️❤️❤️🫂 :
ferre gola shabiki
2026-11-29 05:46:51
2
arnold.muyambo7
Arnold Muyambo :
Donc c’est seulement lui et son ami qui n’ont pas aimer
2026-11-29 15:10:30
1
sabrinabusiness243
Sabrina Business :
Kama niseme🥺
2026-11-29 04:19:00
4
To see more videos from user @hardin_vegas, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About