@yangascb: #creatorsearchinsights #likesandviewsontiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #yangasc💚💛 #fypシ゚viral🖤tiktok

YANGA 🔰FOREVER 🔰🗨
YANGA 🔰FOREVER 🔰🗨
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 04:08:26 GMT
17460
1645
37
5

Music

Download

Comments

alisteusboy
Tesi kahangwa :
inauma kama we ni yangaa
2026-11-29 04:15:04
21
abdullydiabala
45 Utimamu..... :
asa kamela man alikuwa anacheka nin🤣🤣🤣
2026-11-29 05:37:16
6
babe8442
mrs❣️ yahya😍❣️ :
Toa mudathir tia sure boy
2026-11-29 04:31:52
5
user8374236291484
Mb@ng£🎮🤑 :
si ndo tunapenda tukiwaona ivyo
2026-11-29 05:06:04
6
khalidhomange
Khalid :
yoa hakupaswa kutoka wakutoka alikuwa mudathiri ili niuma sana
2026-11-29 05:26:46
1
cruel_mkaburu
M@rx¡$t..51 :
LIBASSE MOTO 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
2026-11-29 05:34:10
3
jovanijohni
jovani johni☑️ :
ila mbona kama kasujudu wakuuu iii imekaaaje [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-29 06:01:56
0
jerry_son6
QWIFFER😌 :
😂😂Yanga Ina furahisha kama sio timu yako
2026-11-29 05:21:34
2
emanuel95920
EMANUEL :
mpaka mshuke daraja asante fadru
2026-11-29 06:01:51
1
elishageorge263
KIJA JR :
tuliomuona camera man akicheka
2026-11-29 05:22:43
4
shomari.hamidu
Shomari Hamidu :
🤣🤣🤣🤣🤣 mnabonda eeeeeh
2026-11-29 05:35:32
1
josephmajaba6
H.Mbote 🚭 :
kocha huyu hawez kufukisha tarehe 25
2026-11-29 05:42:07
1
chris.joel200
Chris Joel :
🥰🥰🥰🥰 kesho tutashinda tuh lazima 👏👏👏👏👏👏
2026-11-29 05:14:34
1
emmanuelmkongwaa
Emmanuel Mkongwaa :
pole mtani
2026-11-29 05:49:30
1
nakazajastin
Nakaza Jastin :
wamezungua sana kumtoa yao
2026-11-29 05:18:31
1
cuteamina519
cuteamina :
mnatia huruma yanga😳
2026-11-29 05:32:48
1
bahatideus321
bony Ngamba :
pole yatapita tu
2026-11-29 04:29:38
3
madilu.o.tambwe
madilu o tambwe :
kocha apo aliniboa
2026-11-29 04:15:30
0
salimathuman729
MR smile 😁 :
ila tufike hatua tuseme ukweli yanga mnatuumiza kwanini hatujifunzi kila siku tunaanguka pale pele kipindi wenzetu wanashiliki walikuwa wanakula gongo zao tano lakini robo final ilikuwa uhakika unajua kwann wenzetu walipaheshimu nyumbani lakini sisi hatujifunzi kwa mf.mc alger hakupaswa kuondoka na point3 zetu yaan haya sale ila angalia kilichotokea mnatuumiza kuna siku tutashindwa kustahimili. Never give up 💪💪💪
2026-11-29 05:49:55
0
abdalahmbega
Abdallah Mbega 🙏🙏 :
yanga bingwa
2026-11-29 05:51:23
0
mr_zid7
Mr zid :
Team yetu haiko sawa Maana wachezaji wetu wanaumia kirahisi sana
2026-11-29 06:05:51
0
edsonkayombo666_
EddyWilfkayombo🥚🐓🇹🇿🇹🇿 :
fadlu atawapeleka nusu fainali 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
2026-11-29 06:02:18
0
user29513250793426
jamila :
Inaum kaka
2026-11-29 05:57:22
0
stamphord2
Justin stamphord :
yao sio wa kutoka kabsa mdathir ndio wakutoka
2026-11-29 06:00:08
0
samsotkb9i5
Juniors samsoni bishati :
yaooo noma
2026-11-29 04:17:22
0
To see more videos from user @yangascb, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About