Binadamu wangelijua hilii bc tusingefanyiana ubaya
2026-11-29 19:29:44
2
aminatundondege :
🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazuri,maisha kama ya kuku,na Mungu anatuona kama sisimizi 🤣🤣🤣🤣, nacheka kama mazuri daah!🙌🙌🙌🙌mmh! Dupa!!
2026-11-29 16:37:40
0
Glowmio talks :
Mzee hili limeniumiza sana🥺
2026-11-29 12:55:11
0
Gbrand_tz :
Kaka nakufatilia sana 💪💪
2026-11-29 15:11:41
0
okncx :
siku zijazo binadamu ataishi miaka elfu moja 😁
2026-11-29 14:37:14
0
Martini Mgale :
kamba iko mwishon inaweza katika muda wowote
2026-11-29 13:45:39
0
Ramzyi :
bro uko out of the box 👍
2026-11-29 06:09:12
0
HYPERSONIC 🅾️🅿️🇺🇲 :
2026-11-29 05:38:43
1
kudranho.adrick :
oooh My GOD usiniche nizulule umu duniani bila kujua kusudi langu
2026-11-29 08:19:51
0
My LifeSToryCesy :
Thanks Dupa kwa kutuamsha🤣🤣🤣
32 now,shule nimeanza na miaka 7+7+4+2Nimeishi miaka 12 to mpaka leo
bado hizo changamoto zipo gunia, nimejiendeleza miaka 2 na saizi najiendeleza tena so nimeishi miaka 9 au 4 tu🤣🤣🤣🤣 maana hiyo 5 ni chanagamoto
2026-11-29 07:41:19
0
Habiba Bora :
Kaka Hii nimeiona sasa hivi 29/11/2026.
kaka uwezi amini jana nilikuwa usingizi na kupigia hesabu muda wa mahusiano na kazini.ila nilisahau kuna kuzurula😳😳😳😂.Kaka ubarikiwe sana kwa elimu