@lumato_officiall: Nyuma mwiko wameitia aibu Taifa letu ndugu zangu ni, Nyuma mwiko wametuvua Nguo, Nyuma mwiko wamedhalilisha wana Inchi wake. Kila mwenye Imani yake tuombe na tusali sana hii aibu itupite na Sisi. Wachezaji wetu waweze kucheza vizuri na turudishe heshima ya Inchi. #simbanguvumoja #burudani #michezo #comedy
lumato_official
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 06:35:50 GMT
Music
Download
Comments
mama mayrah :
sjui leo tukifungwa tutaweka nyuso zetu wapi
2026-11-29 06:58:52
2
@prince-aron08 :
Kaka ww ni noma asee😂😂🙌
2026-11-29 06:49:50
1
adelinaglbert :
m sichek mpaka baadae saiv siongei lolote sicheki kwanza
2026-11-29 07:10:28
0
Marwa James :
😂😂😂😂daah noma sana
2026-11-29 07:00:37
0
🦋madam 🔐🧕 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-29 06:41:27
0
lidya :
😂😂😂😂
2026-11-29 07:24:38
0
𝕊𝕚𝕣_𝕊𝕙𝕦𝕞𝕒. :
Hivi mashabiki wa yanga, na viongozi wao, wana mpango gani na huyy jamaa wa yanga hapa😅😅😅, yeye kila wakati anapitia magumu
2026-11-29 07:11:19
1
suzzie_T Barcelona🛺 :
bhana mi nacheka tukifungwa badae basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-29 07:46:19
0
rashna kapinga :
😂😂😂
2026-11-29 06:46:53
0
Vasco🦋official✅ :
😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-29 07:09:12
0
give on :
🥰🥰
2026-11-29 07:09:18
0
Enjoy Maiko :
😂😂😂😂🔥🙏
2026-11-29 07:31:34
0
To see more videos from user @lumato_officiall, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.