@_zuzaism: Part 287 | Tunazungumzia ramani ya dimensions au viwango vya awareness kuanzia 1D (uwepo/being), 2D (mwendo na silika), 3D (utengano wa kimwili), 4D (akili, muda, na matrix ya ego), 5D (moyo na upendo usio na masharti), 6D (mwanga na ufahamu mmoja), hadi 7D (sifuri ya utengano na muunganiko kamili na Chanzo). Unapovuka kelele za akili na muda, unagundua kuwa utengano ulikuwa udanganyifu tu. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #dimension #awareness

zuza
zuza
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 12:00:00 GMT
280
65
2
2

Music

Download

Comments

danyapayi
danyapayi :
maada ningumu hii.
2026-11-29 12:55:39
0
princeharuni
prince Haruni😃🇹🇿 :
Angalia Mungu yupo, acha kupotosha mbona watu wanarogwa na wachawi NA WAKIENDA KANISANI WANAPONA?!?
2026-11-29 12:08:05
0
12345am.1
Chäpöx :
....
2026-11-29 12:12:58
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About