@noorkidskiswahili: 🎶 Ngo ngo ngo! Ni nani huyo? 🚪🏡 Wimbo wa watoto kuhusu kurudi nyumbani kutoka shuleni na kupokelewa kwa furaha na Mama na Baba. Imbeni na kucheza pamoja na Hafsa, Ali na marafiki zao! 💛 #NoorKidsKiswahili #NyimboZaWatoto #NgoNgoNgo #NiNaniHuyo #SwahiliKidsSongs