Hawataki mimi nilikuwa nahudumia mke wangu kila snachohitaji akasema hawezi kuendelea kuishi na ninambana nikampa uhuru akaondoka sasa hivi yupo juani anafanya mama ntilie mtaani
2026-11-29 09:28:48
42
TBTMOVIE1🇹🇿 :
na hilo ndio kusudi la mungu
2026-11-29 10:18:06
24
mashimo_ya_vyoo_kisasa :
MIMI BORA MKE WANGU AKILI ZIAME LKN SIO KUWA MAMA WA NYUMBANI LABDA NISIWE NA UWEZO HATA WA KUMFUNGULIA BIASHARA NDO NITAMUACHA NYUMBANI ILA NIKIWA NINACHO LAZM MKE WANGU AFANYE BIASHARA YAKE TENA BILA KUMUINGILIA KAMA AKILI HANA HANA TU HATA AKIWA HOME LOLOTE ANAFANYA
2026-11-29 17:58:39
11
H.boy tz :
Kabisaaaaaa acha watafute wanachokitaka
2026-11-29 18:50:09
1
ELIAS LEMA :
hakika
2026-11-29 19:24:11
1
🤲🙏 :
ila wewe 😂😂😂😂
2026-11-29 19:23:15
1
Msafry Kimosso :
uko saw dada
2026-11-29 20:24:31
0
rey_masanja :
Siku mwanaume hayupo Unafanyaje mwanamke🥰
2026-11-29 15:03:03
5
Alhamndulillah" :
hata kama sina uwezo ,,
2026-11-29 17:51:50
1
janviermungwa :
njo kweli kabisa
2026-11-29 17:11:18
1
Ms natty🇷🇼 :
Sio dharau zinaanza tunakuwaga hatuna uvumilivu wa kuvumilia dharau😂😂
2026-11-29 12:09:13
5
Rahma🌹🌹🌹 :
tatizo tunaachwa ghafla😂😂
2026-11-29 16:02:13
1
MANCHEBE_OG✅🎤 :
Sahihi dada 🙏🙏
2026-11-29 16:39:39
1
Humble girl, :
Mungu naomba unizidishie hekima kwenye maisha yangu hata nikiwa na pesa ila kuwa mama wa nyumbani hapana maisha yanataka kusaidiana
2026-11-29 11:23:48
8
user8547230488588 :
it's true 💯💪🔥
2026-11-29 16:15:25
0
user1761950182453 :
sahih
2026-11-29 15:05:05
1
goat farm :
huo ndo ukweli
2026-11-29 15:13:47
1
KAMA MIMI :
True said
2026-11-29 12:06:29
1
𝚜𝚊𝚍𝚢🥰 :
Tukiwa mama wa nyumbani wanachepuka na wanao fanya kazi acha tuu tuzitafute heshima iwepo tuu bas
2026-11-29 14:11:03
5
zuberi_mchilima13 :
fact
2026-11-29 15:27:05
1
Aclaund :
Kweli kabisa
2026-11-29 15:12:48
1
DL.Mashimba :
Point hiyo
2026-11-29 15:38:53
1
NAKI PRODUCTS :
We naweeee
2026-11-29 18:45:01
1
paternus :
SIOI
2026-11-29 17:04:32
1
jazzay360 :
me mkewang nlimtaftia kaz week tu akaniacha
2026-11-29 18:02:20
1
To see more videos from user @antsuusimulizi, please go to the Tikwm
homepage.