@misswandagordon: Know your S.E.L.F!!!! Unapaswa kujifahamu kwa kujua namba hizi za muhimu sana kwenye maisha yako ya kifedha ambazo ni 1. Survival number 2. Earning number 3.Lifestyle number 4.Freedom (F.I.R.E.) number Ili uweze kufanikisha hili Unahitaji kifaa utakayokuwezesha kutunza taarifa au kumbukumbu za namba hizi kama vile application ya Ligana Finance inayopatikana AppStore na playstore pia. Hii ni application itakayokuwezesha kutrack mapato yako na matumizi yako binafsi pamoja na ya kibiashara ila pia itakuwezesha kujiwekea malengo na kuyafatilia ili uweze kuufikia uhuru wa kifedha. Usikose app ya Ligana Finance kwenye simu yako ili uweze kuufikia uhuru wa kifedha unaoutamani maana utaweza kufanikisha jambo muhimu la Knowing your S.E.L.F 😃🔥🔥🔥 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo