I can't fly with it but thank you very much, that's respect tu
2026-11-29 10:35:58
11
Farida Castory :
kwan Mimi sjaelewa amekataa pic au
2026-11-29 10:33:02
4
pm_storm28 :
For security purposes...hauwezinkupokea kila kitu na kusafiri nacho kwenye ndege...kama hiyo picha kuna madawa yamefichwa si ndio inakuwa anguko lake
2026-11-29 11:01:59
48
Kelly🍫 :
iv mbona sijamuonapo simbaa
2026-11-29 11:13:37
7
mawigi :
ila Tanzania tunashobo sna ss we kilichokufanya umpelekee picha AIRPOT NI NINI
2026-11-29 11:24:09
8
❦𝑴𝒂❣𝒊𝒅 :
anavaaga zake kawaida
2026-11-29 11:00:04
8
Lifestyle N Vibes :
Anasema ‘Hawezi kusafiri nayo, Ila Ahsantee sana’
2026-11-29 11:05:05
8
Jr. Brown :
I can not with this, thank you so much siwezi kuruka ni hii kwenye ndege asante sana.
2026-11-29 12:19:23
0
Miss kape🌺🌺 :
hawawez kusafir nayo hyo
2026-11-29 11:18:39
3
Last Born 🇹🇿🌍✈️ :
picha ya nn tunataka hela😂😂😂😂
2026-11-29 11:32:51
5
Baraka RUKWATA :
champion
2026-11-29 11:29:52
4
Abdunuru Simkwasa :
The world Number one Untouchable Musician from Congo Fally ipupa
2026-11-29 11:11:20
4
KING Mkagulu :
Ana kanisa Pale LUBUMBASHI
2026-11-29 11:06:23
1
darnelmwantote007 :
BOYIKA Champion d'Afrique
2026-11-29 11:21:47
4
Erasmi Mtui :
Hawezi kupokea picha akiwa airport anasafiri ni kwasababu za kiusalama.Naimani alitamani sana kupokea lakini alizingatia zaidi usalama wake
2026-11-29 11:08:44
8
sudi :
ulinzi wa fally ipupa uko makini hawezipokea chochote hapo ana body guards wake. pia huyu fally ipupa sio mtu mdogo rais tshisekedi mwenye kampa cheo kikubwa sana kwenye mambo ya sanaa, kwahiyo analindwa huyu jamaaa.
2026-11-29 12:12:38
1
k.g.f.fatuma :
ipupa
2026-11-29 10:56:52
3
Abuu Gwelo :
jamaa hana macheni cheni wala nn yupo simple ila waTz tunapenda kujidhalilisha jamaa kagoma picha aliyopewa kama zawadi wezetu hawapendi vya bure
2026-11-29 11:43:42
1
Farida Castory :
tena pic nzuri tu watu wausi sisi tukijipata dah
2026-11-29 10:33:36
7
Dattyan Og :
Kwaio kakataa picha au
2026-11-29 10:38:04
1
shwaarii :
bye usafiri salama karibu tena Tz
2026-11-29 11:20:32
2
fardosa abass :
2026-11-29 11:02:34
1
mis♥️🦋🍇 :
🥰🥰
2026-11-29 10:48:54
1
Agriclture :
minyimbo yake nsiyoyielewq naenda na acsurudi
2026-11-29 10:37:18
1
IZA HANGI🇨🇩🇹🇿🇰🇪👑 :
alafu simba yuko wapi
2026-11-29 12:06:13
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.