@aggysimba30: Wanaroga LIVE Orlando

Aggy Simba🇹🇿🇨🇲
Aggy Simba🇹🇿🇨🇲
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 11:34:06 GMT
8104
553
32
16

Music

Download

Comments

irenemsumba748
Irene Msumba :
Akuna uchawi mkubwa kuliko mungu Kwa neema na damu ya yesu tumeshinda tayar amen
2026-11-29 11:47:35
7
mofakeng7
mofakeng :
hii ni Simba braza hata hatuwazi
2026-11-29 12:30:59
2
neema.asecheka5
cute ney🥰 :
logeni tu kipigo kipo palepale simba nguvu moja
2026-11-29 12:05:45
2
mwitajohn292
Mwita John :
kwan serekali inaamin ushilikina
2026-11-29 12:32:34
0
zungutz982
ZunguTz # :
mungu ibarika simb kwa kila kitu leo
2026-11-29 12:13:35
2
mohamedabshir123
MOHAMED ABSHIR :
Simba ataingia kinyume nyume
2026-11-29 12:08:49
1
deborabwil5
Debora Bwile :
hatutishiki yesu ndo kiboko ya wachawi
2026-11-29 11:55:07
1
user32352776136
Maria :
Ee yesu sukamapema baba tupiganie hikazi ningumu ww unaweza kuvunja maagano yao baba nakukabizi tipiganie mungu🙏🙏🙏
2026-11-29 11:50:39
1
erizabety.masebo
erizabety masebo :
ee mwenyez mungu utusaidie
2026-11-29 12:52:31
0
alaistetu59
Alais Tetu 59 :
Ata wakiloga bado haisaidii😳😳😳😳
2026-11-29 12:47:24
0
maphuma2009
maphuma sks :
hawa tunawabonda
2026-11-29 12:35:25
0
user9179794381533
son of dady :
wameharibu mnoooo
2026-11-29 12:53:04
0
user5088708104471
mussa :
we ulikua unatakaje
2026-11-29 12:53:13
0
mayamaige
Maya :
Jsman tutatoka kweli leo
2026-11-29 12:02:08
0
kweba47
kweba :
hapo ndo wameharibu ilikuw wapate sare sasa wanafungwa 2-1 amini mimi
2026-11-29 12:22:20
0
mwandambo.msomali
Mwandambo Msomali :
ata wakiroga sisi tunajua kuliko wao iyo mambo wanajisumbua
2026-11-29 12:42:12
0
kitengokidd
26 kitengo :
mung atusaidie 🙏🙏
2026-11-29 11:45:20
0
alaistetu59
Alais Tetu 59 :
bado awajasema
2026-11-29 12:44:55
0
saibary80
Saibary :
kazi kweli kweli
2026-11-29 12:22:34
0
user7105095449453
Mama anna :
mungu
2026-11-29 12:23:18
0
mariamumasaninga
Mariamu Masaninga :
simba kachezeni kwa kumtanguliza mwenyezi mungu
2026-11-29 12:49:53
0
felizeramadhani
Felize🌷 :
Mungu tuepishie shari na vitimbwi vya wa Orlando
2026-11-29 12:34:54
0
abdul.hemed4
Abdul Hemed :
simba nguvu moja
2026-11-29 12:32:03
0
mwana.mussa
Mwana Mussa :
du
2026-11-29 12:32:57
0
elizabeth.manyili3
Elizabeth Manyilizu :
mungu
2026-11-29 12:15:10
0
To see more videos from user @aggysimba30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About