adhana inaruhusiwa kukunyugwa ila kama muda utapita kama hvyo unavyosema inakuwa ni dharura na badala yake adhana itakunyugwa kwa sauti ya kawaida na pia sio kwenye vipaza sauti.lakin haiwezi kutokea hali hyo kwa sababu muda ukifika hata kama adhana haijatoka wanaoswali wakifika msikiti wataikunyuga adhana na kuswali kama kawaida😂😂😂
2026-11-29 18:10:13
1
0101198396 :
aiwezekani kuchelewa lakini endapo atajaliwa kuchelewa anafaa kuadhini,kwani swala bila adhana hakuna swala(kwani endapo adhana itaadhiniwa vibaya Mpaka irudiwe seuze kuchelewa).
2026-11-29 16:21:27
1
Hamid Bakari :
Wengne x wapo
2026-11-29 20:58:57
0
Ahmadi Khamisi :
Swala ya maiti na kumswalia mtume pekee ndyo hakuna adhana.
2026-11-29 19:35:00
0
Khalifa sultwan :
Uzuri ni kwamba hii ni dini co siasa maana yangu ni kwamba mpiga Azana Hana muhuri kusema ni lazima awe yeye atakama amechelewa
2026-11-29 20:32:19
0
user5286657247979 :
adhana aina mtu maalum
2026-11-29 18:55:12
0
Hamisi Munda :
Anaruhusiwa saa saba na nusu bado ni adhuhuri izo dakika niutaratibu wa kwetu waislam tumefundiswa nyakati pia kuna dalili za kutambua muda huu ni adhuhuri ama araasili
2026-11-29 19:57:26
0
Chedi Huseni :
yeyote atakae fika ana weze kuadhini haina mtu maalum
2026-11-29 19:22:22
0
Salama Khalifa :
anaruhisiwa yeyote yule anayeju
2026-11-29 19:36:39
0
Hamiswagga comedy :
mda ukifika yey ajafika bc waliopo wataazini na ata swala km imaam kachelew waliopo Moja wao ataswalisha
2026-11-29 19:30:14
0
ramadhan juma :
kama mji huo ipo adhana ilio nadiwa bas inatosha
2026-11-29 19:22:27
0
ramsy :
adhana haina mtu malum yoyote anaye fika msikitini anaruhusiwa kuadhin
2026-11-29 19:17:27
0
adil khan :
ndio anaruhusiwa
2026-11-29 18:49:06
0
Mwalugwe J :
elewa kwanza swal ni faradhi iliyo wekewa wakat sio saa kwahy elew hakun swal ya saa 7 bali ni( adhudur)) na si swal ya saa 10 bali ni ( al_asir) kun magharibi isha na asubh
2026-11-29 19:07:06
0
Omary Adamu :
MIPENGO ILEEE
2026-11-29 19:22:50
0
Double D💢💢 :
aya mpo
2026-11-29 19:35:40
0
city anter :
apana aitoadhiniwa
2026-11-29 14:52:52
0
Hawa Hussein :
Ndio
2026-11-29 19:18:11
0
⏱️👑🗝🔗⚖️🏹 :
Adhana ni uwito kwaiyo lazima uwaite waumini kivyovyote
2026-11-29 18:21:31
0
waizy :
na anaeazin huwa so mmoja kak na ndomaan msikitn kukawekwa saa
2026-11-29 17:10:20
0
AMEEYR MUSTAFHA MAKAMBA :
anaeadhin hana muhur kwaiyo muumin yyt anaweza adhin
2026-11-29 20:52:07
0
Salumu Mkwango :
SI atadhini mtu mwingine
2026-11-29 18:39:36
0
HASSDK MAHERO JR. :
Adhana inaadhiniwa Bora iwe ndani ya mda wa swala ile .........
Sasa mda wa saa Saba ,saa kumi ni mazoea ila sio maelekezo
2026-11-29 18:16:23
0
fadhili :
kwanza kuadhini hakuna wekewa mtu maalum sasa sijui adhan itachelewa vipi
2026-11-29 18:11:08
0
mummy sameer🥰🥰 :
hawezi chelewa kuadhini 🥰😂🥰🥰
2026-11-29 14:56:01
0
To see more videos from user @chiefpengo, please go to the Tikwm
homepage.