@mc.bal: #simba #yangasc #viralvideo #viral #fypシ

mc bal
mc bal
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 16:00:04 GMT
158044
16958
519
1810

Music

Download

Comments

farnybabuuh
FARNY BABUUH 💥 :
Kwan huy ni team gan😂😂😂
2026-11-29 17:09:53
48
prity.tiktok
Pogoro 🦋girl 💕 :
Mimi ni shabiki wa Yanga lakin ni bora wao wamepata point 1 kuliko sis tulio kosa kabisa jamani
2026-11-29 17:02:44
55
user95580591735931
Richard Lynx Organisé :
hapa samahanin nimecheka kwa sauti
2026-11-29 17:25:15
48
origabas759
ORIG NI FIRE :
yanga oyeeee
2026-11-29 17:55:42
19
pretty.mwana68
🦋mama muu💦 :
ningekua na hela leo ninge lala baa
2026-11-29 17:08:44
26
officialmiss_g
miss G :
simba wame fanywa ivii😂😂😂😂
2026-11-29 17:05:14
14
user3268047814748
Malaika wa Bwana :
Nina furaha sana leo
2026-11-29 18:14:59
16
user2266630139407
Sweet🎀~S°phy🍭 :
niongee kwa kukaa au kwa kusimama🤣🤣🤣
2026-11-29 19:32:52
7
officially.chiwawa
CHIWAWA!|🧸🖇️❤️ :
Hii nayo Ina comeback mbona me sisemi😂😂😂
2026-11-29 19:39:39
0
mariethaam
୨୧ 𝓡𝓲𝓮 ୨୧ :
me naona uwatengenezee na nyingine coz umewapa maneno mapole sana kwann lkn 😭 maan jana wametusema sana
2026-11-29 16:10:04
17
julietmtenga
Juliet Mtenga126 :
sijiskii kucheka lakin kuna ile ya Mungu ananiona hadi moyoni 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-29 16:46:50
13
albogasti.kaiza.d
Albogasti kaiza De 8 classic :
why view once again 🤣🤣
2026-11-29 20:06:38
0
mimaah.cute8
mimaah cute😘🎀 :
🤣🤣🤣 asante orlando tumepata furaha kdg
2026-11-29 16:50:33
9
anethmwaluko
Aneth Mwaluko :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uki staajabu ya man united utayaona ya simba
2026-11-29 17:01:18
6
killer.b278
killer b :
nakubal bro mikaz 0
2026-11-29 16:34:45
5
marry01_1
marry daud :
goodby
2026-11-29 18:52:26
0
pasensi7
JAMES THOMAS :
Dakika 45 za kwanza mnafurahi, dakika 45 za pili mnatafuta pa kujificha! 😂😂 Simba mnatupa matumaini kuliko mnavyotupa matokeo. Pole sana watani, leo zamu yenu kuumia. 💚💛
2026-11-29 16:08:10
7
user1635760886071
hellen dodo :
poleni
2026-11-29 17:01:07
0
miss.j4160
miss j4 :
sitahili imeniua walahi 🤣🤣🤣🤣
2026-11-29 16:12:53
5
delevtozzy1
tozzy :
mji umetulia hakiy mungu
2026-11-29 20:04:58
0
myrah876
🦋MYRAH🍃💚 :
wanayanga malizien nikisem hii ni mvua 😂😂😂
2026-11-29 19:11:44
1
mery15354
mery :
yanga moja
2026-11-29 19:27:13
0
monahbaby5
Monah💖🦋 :
Bora wao sisi sasa duuh
2026-11-29 19:52:31
3
mnyamaboe
Mr rocky ✅ :
hahaha nilikua nasublia hii 😂😂😂
2026-11-29 16:05:21
3
rehma1261
💫💫رحمة :
2026-11-29 17:04:05
1
To see more videos from user @mc.bal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About