@suda.yanga: Tungeweka wapi sura zetu sisi🤣hiivi Dumbia aliingia kufanya nini anhaaaa kusababisha penalti 😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃

Suda Yanga
Suda Yanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 November 2026 16:03:07 GMT
66446
11271
516
269

Music

Download

Comments

miss.happy167
miss happy :
Kama naww umefurahi kama suda ebu weka kopa tuondoke💛💛💚💚
2026-11-29 17:35:37
510
mart.de.princess01
Mart. de.princess :
jaman aliyefurahi kama Suda tujuane hapa 🤣🤣🤣😂💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛
2026-11-29 18:10:00
118
merry.msangawale
merry msangawale :
😂😂😂😂 Lisemaji lao lilitutukana sana jana ety tumeivua nguo tanzania yey leo cjua kawavua nn maana ss tuliwavua janaaa
2026-11-29 17:05:29
70
peladia.chris
peladia chris :
Kuna mahali nashangaa Yani Bora kufungwa Jana kuliko sare ya Leo jaman au
2026-11-29 17:26:56
51
toto.la.t.a.g
Toto la t.a.g :
point 1 na 0 ipi kubwa🤣🤣 nimeuliza tu
2026-11-29 18:53:14
8
mumy.lailaty
miss p love❤️❤️❤️mnytr 🌹 :
wambie kpnz chng🙏🙏🙏
2026-11-29 17:05:56
0
user7606770631990
sarah Jh :
hahahhahha
2026-11-29 16:21:43
1
mimahbrand
mima colle tion :
yani we suda mbona unajua kukera hivo duu mi nimecheka mpaka mbavu zinaniuma acha basi😂😂😂😂
2026-11-29 17:11:22
26
user4987432632913
young girl💃🌺 :
ila simba inachekesha kma sio timu yako 🤣🤣🤣🤣💛💚
2026-11-29 16:23:21
42
ratifa.adam08
Ratifa Adam :
afadhar Simba kuliko nyie
2026-11-29 17:28:00
5
goddaughter3855
Marstar :
hahaha......mbn me sisemi Simba wamedroo
2026-11-29 17:46:43
0
user2727572469392
helenaPh :
wallah sijui tungeziweka wap sura zetu
2026-11-29 18:08:29
14
user9184668288315
Pascar Samson :
wauliz kik wap
2026-11-29 16:56:54
0
aziza.shaban88
Aziza Shaban :
nakupenda mwanangu
2026-11-29 17:18:25
0
stephengaston45
Stephen Gaston :
wape pole bas sauda
2026-11-29 16:08:41
8
deborah.athumani
Deborah Athumani :
mhhhh we mtoto
2026-11-29 17:32:09
0
nipher1649
Nipher@ :
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌ila Sauda Yanga😂😂😂🧎‍♀️
2026-11-29 17:35:24
5
cafherinisayajose
cathe 💕💕 :
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛 yanga oyeeeeh me nimefulah san nahis pindi smb inafung kidog mwanasimba aniue ila nimekiepuka kifoleo ningekua malehem mwenzn 😅😅😅😅😅😅😅
2026-11-29 20:44:14
0
user7606770631990
sarah Jh :
suda nakupenda we mtot umejua kunifrahisha na me🤣🤣🤣
2026-11-29 16:22:24
6
machaanold25gmail.com
machaanold25co tz :
hahahahha
2026-11-29 16:47:04
0
merry207h
Merry lissa🌼🌼☘️ :
hat mi nimecheka kama wewe kipenzi 😊🤭💚💚💛
2026-11-29 19:45:01
1
user0692364752
Chioma❤📌 :
Lakin bora wao kuliko sisi 0.1 wao 2.2
2026-11-29 16:51:59
3
mariamyohana130
Mariam Yohana :
ila suda umefanya nicheke kwa nguvu🤣🤣
2026-11-29 17:53:15
3
user6688480070442
Rey ngereza :
Yani Leo tungekoma kama wangefunga
2026-11-29 18:30:33
2
roxanny695
Roxanny :
huy mtoto ananichekesh nikikumbuk waliliwa jana
2026-11-29 17:20:42
3
To see more videos from user @suda.yanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About