Nina ushuhuda naomb nikae kwanza nipew fundo la maji 😂🤦
2026-11-29 19:47:30
33
Saraphina😍 :
Mbona kama unani sema mm jamani tena 😌🤔
2026-11-29 19:34:09
48
japheti tz :
salimia bana khani una shida gani🤣
2026-11-29 18:05:58
36
Ainess💗 :
mbona ni me kabisa jmn na hataki nitoke ata ndani yaan hataki nionekane nje sina ata namba ya mwanaume mwingine zaidi yake eeh mungu nisaidie
2026-11-29 19:37:53
17
isher :
Bwana eeh sasa kama mtu anakucare vzr anakufanyia kila kitu anatimiza ndoto,pamoja na mahitaji yako kwann usitulie nae??MM USINISHAURI UTANICHANGANYA KWAKWELI😂😂
2026-11-29 20:58:35
4
lily🥰 :
Daaah naata Niki tafuta mtu mwingine tunagombn Ila Huyu wa mtu ata tukigombn ana kubembeleza yeye ata cjui mwisho wa siku nini 😌🥺
2026-11-29 20:16:50
8
Gee___ :
Sasa nafanyajeeee
2026-11-29 19:39:24
2
Rahma :
Sasa mume wa peke yangu nitapata wapi jamani hebu tuwacheni yakhe
2026-11-29 18:50:39
15
@grace Mbolea :
Khaan Ningekwambia kitu lkn basi acha tu. God s Good
2026-11-29 19:49:44
3
miss Martha tz :
hakuna mme wa mtu ila Kuna mke wa mtu
2026-11-29 20:20:28
6
Arabeĺla :
mume sahihi ni mume wamtu....usitushawishi tukae ktk fikra zako...ukipata wakushare nae inatosha sio lazima mtu aowe au aolewe....binafsi mahusiano yangu mm nikatika mume wamtu bro ktk namna yamaongezi yako kwahapa hapana sikuungi mkono😂😂😂😂
2026-11-29 20:57:45
6
MAMA LEE COLLECTION 🦋🦋 :
Acha nikae kimya
2026-11-29 20:13:22
0
GOLDENSIMBA_LEO♌️🔥 :
dunia haiko fair kabisa unaweza ukawa na mtu hana mke ila mtu wa watu yaan kuna namna inabidi tuu kuishi unavoona wewe inakupa furaha no matter what hakuna kilicho sawa dunian
2026-11-29 20:27:53
3
Rae chavery💋 :
Khan Hebu njoo unioe
2026-11-29 20:17:19
0
mom nabi♥️ :
tuache
2026-11-29 21:07:54
0
🍒phinaa omary🍒 :
mweee nachoka mimi😁😁
2026-11-29 20:29:40
0
💥❤️kidoty💞 :
mtumeeeee
2026-11-29 20:30:50
0
@salmahemed4 :
kikubwa ananipa hela😂😂😂
2026-11-29 20:17:09
1
tima mrs🥰 :
labda ndio mume wangu vipi nataka kua mke wapili 🥰🥰
2026-11-29 21:06:09
1
Giraffe🦒🦒 :
Uyu nae atatupa preshaa 😳😳😳
2026-11-29 20:05:27
1
NAIMAH HASSAN :
hakuna mkamilifu kama mume wamtu Wala cjishugulish kikubwa ananishengesha vizur Amna mume wamtu mume wetu ote kunamtu wa mungu sio mume wamtu akijiona wamtu atulie kwake
2026-11-29 20:56:30
1
bahaticollection. :
😆😆😆
2026-11-29 19:31:33
1
MRS💞 R♥️💓💓💓 :
ni mim jamn Niko ivyo sas ☺️
2026-11-29 20:35:34
2
🍬mamy Careen🇹🇿🇨🇩🍭 :
mbona unanisema
2026-11-29 19:37:49
2
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.