@sweetie_angelxoxo: Wameji-expose wenyewe sasa, wasiseme tumewazushia! Tuhuma za utapeli na ushirikina si mambo ya kufumbia macho. Haki za Koyama Youth lazima zilindwe. Allah alete haki na ampe kila mmoja hidaya. Mskilizeni mjionee wenyewe! Conwoman‼️‼️‼️#KoyamaYouth #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers #mombasatiktokers🌴 #mombasa