@__atul___saxena: 🤔#_Pahli_bar_apn_awaj_me_cg_sayri ❤#fyp #cgsayri #cgfam #cgtiktok

mr.saxena
mr.saxena
Open In TikTok:
Region: IN
Friday 29 May 2020 01:49:17 GMT
1376
364
27
0

Music

Download

Comments

To see more videos from user @__atul___saxena, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

01. Degree Hii Haikufai? | Program Gani Nisomee? Umechaguliwa kusoma degree ya Technology lakini bado hujui vizuri umechagua nini? Au una options kadhaa kama Computer Science, Software Engineering, Information Technology, Cybersecurity au Multimedia? Video hii ni mwanzo wa playlist maalum itakayokusaidia kuelewa programu mbalimbali za Technology, Computing, Digital Media na Creative Technology kabla hujafanya uamuzi. Hatutazungumzia jina la degree pekee. Kwenye playlist hii tutaangalia: • Program hii ni nini? • Utajifunza nini? • Utajenga skills gani? • Unaweza kuelekea kwenye career areas zipi? • Ni industries gani zinaweza kuhitaji skills hizo? • Ni mtu wa aina gani anayefaa kusoma program hii? • Kuna changamoto gani unatakiwa kuzifahamu? • Kuna tofauti gani kati ya programs zinazofanana? • Na muhimu zaidi: Program hii inaendana na wewe? Pia tutazungumzia jinsi Artificial Intelligence (AI) na mabadiliko ya teknolojia yanavyoathiri skills na future ya careers za Technology. Kwenye video zinazofuata tutaanza kuchambua program moja baada ya nyingine, kuanzia Computer Science, Software Engineering, Information Technology, Cybersecurity, Computer Networks, Multimedia Technology and Animation na nyingine zinazohusiana na technology na digital fields. Lengo si kukuambia tu “soma degree hii.” Lengo ni kukusaidia UIELEWE degree hiyo, ujue inakujengea uwezo gani, na ujiulize kama kweli inakufaa. 📌 Kama uko kwenye hatua ya kuchagua degree au tayari umechaguliwa program lakini bado huielewi vizuri, playlist hii ni kwa ajili yako. 👉 Subscribe kwenye channel na fuatilia playlist hii ili usikose video zinazofuata. Usichague program kwa kusikia tu. CHAGUA UKIWA UMEIELEWA.

About