@mando2iwi: قتلته بالبعد وبالخذلان 💔 #تصميمي #foryoupage #viral #foryou #fyp #عمرو_حسن #الكئيبـ🥀 #CapCut #explore #fypシ゚viral #fpyシ

MANDO
MANDO
Open In TikTok:
Region: EG
Saturday 09 December 2023 21:09:08 GMT
6153
240
1
48

Music

Download

Comments

shakerabualarabiafi
شـــــــيـــــــّكَوُ♥✨ :
😭😭😭
2024-05-03 03:34:39
0
To see more videos from user @mando2iwi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Baadhi ya wananchi wameibua hoja na kumkosoa aliyekuwa Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka, kufuatia mijadala mbalimbali inayoendelea nchini na kauli zinazotolewa kupitia vyombo vya habari. Wananchi hao wamesema wanatumia nafasi hiyo kutoa maoni yao kama Watanzania wenye nia ya kuona nchi yao ikiendelea. Mwananchi mmoja, Mohammed, amesema Tibaijuka ambaye kwa sasa amestaafu amekuwa akijitokeza kwenye vyombo vya habari katika mijadala mbalimbali, hali ambayo imemfanya kuhoji baadhi ya kauli zake, hususan anapozungumzia masuala ya maadili. Mohammed amemkumbusha Tibaijuka kuhusu kipindi alipokuwa Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, akitolea mfano wa hoja iliyowahi kujitokeza kuhusu eneo la wazi lililohusishwa na upanuzi wa Hospitali ya Hindu Mandal. Amesema wananchi bado wana kumbukumbu kuhusu sakata hilo, huku akihoji uamuzi wa kutotolewa kwa eneo hilo kwa ajili ya kupanua huduma za afya, wakati eneo jingine lilitumika kwa shughuli za michezo. “Mpira na afya, kipi bora?” amehoji, akisema masuala kama hayo ndiyo yanayopaswa kuangaliwa katika mjadala wa maadili. Aidha, Mohammed amemkumbusha Tibaijuka kuhusu sakata la fedha lililowahi kumkabili wakati akiwa serikalini, akidai kuwa suala hilo lilisababisha kujiuzulu kwake. Kwa upande mwingine, mwananchi mwingine amedai kuwa Tibaijuka ni miongoni mwa watu ambao, kwa mtazamo wake, wamechangia Tanzania kufikia hali ya umaskini. Wananchi hao wamemtaka Tibaijuka kuwa makini katika kauli zake wanapojadili masuala ya maadili na mwenendo wa nchi.

About