@kpop___mv___: #CapCut #newjeans #newjeans_attention #newjeans_supershy #Love #mv #kpop #follow #ftypシ #ftyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fytシ #newjeansfan #newjeanskpop

@KPOP MV❤️
@KPOP MV❤️
Open In TikTok:
Region: MX
Friday 29 December 2023 23:33:19 GMT
23849
478
9
419

Music

Download

Comments

strawberrxix_
.ᐟ strawberrix🍓 [ 여울 ] ^᪲᪲ ˖ :
NEWJEANS💞
2026-04-20 08:25:49
1
roronoaaaaa_zoro
Minjiaaaahhh🐻🧸‼️ :
turn on the save button please🙏🙏😭
2024-01-11 16:39:52
3
lesserafimchaewon_14
ˑ 𓈒 𐔌𝖢𝗁ɑ౿⍵𝗈𐓣 ͡꒱ ۫ :
One of the best debut songs
2026-06-12 22:23:05
0
www.lavininha
Lavinia :
hanni iconic line
2026-03-24 15:28:13
1
daisyxhae
ʳᵃⁿᵈᵃ` :
💗
2025-11-07 10:05:19
1
altynym.eun
altynym :
@Wonini✌🏼 🥺
2026-03-05 21:51:29
0
To see more videos from user @kpop___mv___, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Mlalo kupitia chama cha CCM, Rashidi Shangazi, amesema madereva wengi wa malori nchini wanaofanya kazi ya kusafirisha mizigo hawana mikataba rasmi ya ajira, hali ambayo inawanyima uwezo wa kutetea maslahi yao wanapokumbana na changamoto kazini. Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi bungeni, Shangazi amesema madereva hao husafirisha mizigo yenye thamani kubwa kutoka bandarini kwenda maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi, lakini bado hawapati stahiki zao za msingi kutokana na kukosekana kwa mikataba ya kazi. Amesema kukosekana kwa mfumo rasmi wa ajira kwa madereva hao kunaikosesha hata Serikali mapato ya kodi kwa sababu wengi wao wanakuwa hawatambuliki rasmi kwenye mifumo ya ajira na kodi. Mbunge huyo ameishauri Land Transport Regulatory Authority pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kukaa pamoja na kutafuta suluhisho la kudumu kuhusu changamoto hiyo ili madereva waweze kutambulika rasmi na kulindwa kisheria. Katika hatua nyingine, Shangazi amehoji gharama wanazobeba madereva ili kupata sifa za kuendesha malori makubwa, akieleza kuwa ili dereva aweze kupata leseni ya daraja E analazimika kuwa na daraja C pamoja na kuhudhuria mafunzo maalum kwa muda wa siku 14. Amesema mafunzo hayo yanahitaji dereva kulipa takribani shilingi laki tatu, jambo ambalo limekuwa gumu kwa wengi wao kutokana na kutokuwa na ajira rasmi wala mishahara ya uhakika. “Dereva huyu hana mkataba wa kazi, hana mshahara wa uhakika, anatakiwa kukaa darasani siku 14 na bado alipe shilingi laki tatu. Fedha hizo atazitoa wapi?” amehoji Shangazi bungeni. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #MadeInTanzania #RoadTo100K #tanzaniatiktok

About