@just.fryy: #fyp

just.fryy
just.fryy
Open In TikTok:
Region: PH
Wednesday 24 April 2024 16:08:08 GMT
4406
120
4
11

Music

Download

Comments

momohitoshi
momohitoshi :
ang likot😂
2024-05-08 03:40:59
0
snipe_16
snipe_16 :
🥰
2024-04-24 16:18:48
1
jimberpajares10
jimberpajares10 :
hello
2024-04-24 16:27:42
1
haijin294
|🅴🅳🆆🅰🆁🅳 ᥫ᭡. :
🥰🥰🥰
2024-04-24 18:41:03
1
To see more videos from user @just.fryy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, ameipa Serikali pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi muda wa wiki moja kutoa maelezo rasmi kwa umma kuhusu aliko na usalama wa Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, akionya kuwa wakishindwa kufanya hivyo, chama hicho kitachukua hatua za kisheria kuiburuza serikali mahakamani. Ado Shaibu ametoa msimamo huo jana, Septemba 12, 2026, wakati akihitimisha ziara yake katika Mkoa wa kichama wa Kahama baada ya kukutana na wenyeviti na makatibu wa chama hicho ngazi ya mikoa, pamoja na kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliyofanyika Kata ya Kagongwa, Jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga. Ado Shaibu ameeleza kuwa baada ya kutoa kauli siku chache zilizopita, alitoa fursa ya siku moja kuona kama Dkt. Nchimbi mwenyewe, familia yake, au serikali wangejitokeza kutoa taarifa. Hata hivyo, kutokana na kuendelea kwa ukimya huo, amebainisha kuwa kuna kila dalili za kutilia shaka usalama wake. “Tunataka serikali itueleze Nchimbi yuko wapi, familia yake itueleze Nchimbi yuko wapi au na yeye mwenyewe Nchimbi atoke atuambie yuko wapi…angekuwa salama angejitokeza. Na usalama ninaosema mimi tunataka tujue hali yake ni salama. La pili tunataka tujue anao uhuru wa kutembea…la tatu tunataka kujua ana uhuru wa mawasiliano, atoke tu tumuone. Lasivyo kama hajitokezi tutajua hayuko salama,” amesema Ado Shaibu. Katika hatua nyingine, Ado Shaibu amemshukia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akimtaka kutambua uzito wa dhamana aliyopewa inayohusu usalama wa raia na mali zao, na inayosimamia vyombo vikuu kama Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto, na Idara ya Uhamiaji.

About