Ukisota bibi hata atakwambia utoke nje avae nguo...
2024-12-05 19:09:28
302
catherineekaya :
na vile napenda kushinda uchi🤣🤣my husband will be so lucky 🤣🤣🤣🤣
2024-12-07 08:40:26
224
M💕A💕T💕I💕L💕D💕A💕💕💕 :
na je mume anaweza kaa hivyo pia mimi nione 💃💃
2024-12-09 14:59:45
41
Willy's designer👖 :
Si hata nyinyi mumuona Hawa pastor sai wanahubiri ngono tu ...
2025-01-06 07:56:58
31
Judy :
Na kuna mimi napenda kua uchi na niko single
2024-12-10 10:12:47
35
Power Man :
amevaa kama daktari wa COVID 19 patient, ghasia😂😂😂😂
2025-01-03 06:33:40
49
mama tee :
nilikuwa navaa nguo mbele yake ady nainama aone huko kwingine lakini cku tulikosana akanitusi kutoka ndani hady nje,na hata hajanitolea mahari,nitavalia hata Kwa bafu,na bdo atanikula Kwa giza2🤣🤣
2024-12-03 08:26:32
37
Alex flemmy :
mimi nilikuwa naomba usiku hadi ananinyima nalia wacha nipate mpango wa kando
2024-12-29 15:58:38
36
KENNAR ²5⁴ WHOLESALER :
Mimi niliambiwa nitoke nje avae nguo🥺
2024-11-30 19:34:21
33
tobiasahmed7 :
ukioa bibi mzee ndiyo wanakuanga hivo
2025-01-02 20:31:56
5
Bossgirl006🌹 :
😅😅😅😅😅mtu anafunga Leso na hana matiti kubwa mwenzako anaficha heartbeat😅
2024-12-08 20:41:23
5
black mountain bear :
waambie ukweli mtupu mama!!! that's why I love your work!!
2024-11-30 15:15:08
8
@queenvee :
hiyo ni kutokwa
2024-12-07 07:20:29
5
William Juma :
wacha kusema ukweli
2024-11-30 08:49:05
8
jymes :
Thanks. I have a friend who told me that she doesn't know how she looks like and they're in marriage for six years. It's true not java
2024-12-09 15:18:12
5
Lycii Kish :
maybe mapenzi yaliisha😁😁😆
2024-12-10 12:09:58
5
kasau kakya... ... .. :
wapi mke wangu asikie hii lakini naogopa ku download asikose kupika chapo leo
2024-12-05 10:48:00
19
Clarence :
this is what am going through
2024-12-09 16:13:21
11
mtoi wa shosh47 :
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, nivile alinilelea kwa kiza🤣🤣🤣🤣
2024-12-06 17:50:03
5
Çòĺĺïŋ§ Şmįţĥ :
hii kanisa iko wapi
2024-11-30 09:01:01
8
vero kana :
ebu niolewe nifeel izi vitu mnaongea huku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-07 18:51:59
4
slim boy o47 :
huyu mama huenda ni agent wa shetani haogopi hata watoto mama mzee
2025-01-23 18:30:16
1
leahbonareri :
hahaha.....😂😂
2025-01-08 01:28:18
2
Jackim otieno juma :
but not all women some are romantic sana nili notice treat her well uone vituko
2025-01-16 12:17:02
1
🤷🤪😂SO WHAT??😂🤷🤪 :
Mume wangu inshallah hii nayo lazima uone mpka ndani uone kila kitu mpka mjengo ulivyo taa zote niwasilishwe kwani iko nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-22 05:36:10
2
To see more videos from user @ribanews, please go to the Tikwm
homepage.