@zaibi.1020:

Zaibi 🤫
Zaibi 🤫
Open In TikTok:
Region: PK
Monday 02 December 2024 19:13:32 GMT
163
38
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zaibi.1020, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigamboni kumkamata kwa kumshikilia Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Lingato, Kata ya Kisarawe II, Cosma Kulwa maarufu kama Kalimanzira, kwa tuhuma za kuuza viwanja mara mbili na kusababisha migogoro ya ardhi kwa wakazi wa eneo hilo. Chalamila alitoa agizo hilo leo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Wilaya ya Kigamboni. Akiwa katika Mtaa wa Kichangani akitatua mgogoro wa ardhi unaohusisha zaidi ya familia 23 na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Hassan alijitokeza na kutoa malalamiko dhidi ya mwenyekiti huyo, akimtuhumu kumuuzia eneo la ekari moja ambalo baadaye lilidaiwa kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na wananchi, mwenyekiti huyo amekuwa akihusishwa na uuzaji wa viwanja vyenye migogoro pamoja na viwanja ambavyo tayari vilikuwa vimeuzwa kwa wanunuzi wengine, hali inayodaiwa kuchangia kuongezeka kwa migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Baada ya kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusu nyaraka za mauziano zinazodaiwa kuhusika katika sakata hilo, Chalamila aliamuru akamatwe mara moja na kuwekwa mahabusu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigamboni kumkamata kwa kumshikilia Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Lingato, Kata ya Kisarawe II, Cosma Kulwa maarufu kama Kalimanzira, kwa tuhuma za kuuza viwanja mara mbili na kusababisha migogoro ya ardhi kwa wakazi wa eneo hilo. Chalamila alitoa agizo hilo leo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Wilaya ya Kigamboni. Akiwa katika Mtaa wa Kichangani akitatua mgogoro wa ardhi unaohusisha zaidi ya familia 23 na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Hassan alijitokeza na kutoa malalamiko dhidi ya mwenyekiti huyo, akimtuhumu kumuuzia eneo la ekari moja ambalo baadaye lilidaiwa kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na wananchi, mwenyekiti huyo amekuwa akihusishwa na uuzaji wa viwanja vyenye migogoro pamoja na viwanja ambavyo tayari vilikuwa vimeuzwa kwa wanunuzi wengine, hali inayodaiwa kuchangia kuongezeka kwa migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Baada ya kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusu nyaraka za mauziano zinazodaiwa kuhusika katika sakata hilo, Chalamila aliamuru akamatwe mara moja na kuwekwa mahabusu. "Akamatwe na akawekwe mahabusu mpaka kesho. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, kesho itisha mkutano wa hadhara wa wananchi. Huyu mwenyekiti kesho atoke mahabusu akiwa na pingu ahudhurie mkutano huo. Amesema Chalamila #viral #tiktokindia #shots #trending #reels

About