@mwendotv: Kipande cha video cha muimbaji Goodluck Gozbert akieleza ni kwanini alilichakaza gari alilopewa na Nabii mkuu kwa moto, huku akiweka bayana kuwa aliyekua anataka kuutoa uhai wake siyo aliyempa gari, Una mtazamo gani ? #thetubeupdates#tanzania🇹🇿 #trendingvideo
There is spiritual war on gospel singers in Tanzania,church arise and pray for them.
2025-01-26 12:52:07
0
Raph :
Goodluck anahitaji msaada. Hayupo sawa dah! Mungu amsaidie.
2025-01-26 10:01:55
20
james 👊👊👊👊👊👊👊👊💓💓 :
ila kama ujawai kupata matatizo uyu jamaa uwezi muelewa
2025-01-26 18:22:29
8
shedrack ngaila :
huyu anahitaji canceling ana jambo linamtesa kwahiyo hata kuchoma gar siyo inssue
2025-01-26 12:27:41
7
WeL💀 :
Shetanii yupo kazini ila ukimsikiliza kwa makini Gozbet utamuelewaaa kwa jicho ya rohonii
2025-01-26 15:08:59
12
Jane Mrema :
jaman huyu amechanganyikiwa😭😭😭
2025-01-26 09:52:28
5
Fortunata Ludeha :
nyie huyu kaka , japo ameokoka ila ndo anaudhihirisha kuwa wokovu ni unafki , pia hata ukimfatilia ni mswahili Kwa iyoo hili linahitaji hekima kubwa
2025-01-26 10:41:05
4
Shompizzo :
mental health
tukipimwa wachache tutanusurika......mm mwenywe nataka maji ya bahari niyapunguze chumvi
2025-01-26 11:38:19
3
mnubi jr :
hapa Kuna shida mahala sio bure swal na jibu ni tofauti
2025-01-26 21:24:37
1
chapaswa :
huyu anahitaji kuanza dawa🤣
2025-01-26 09:57:22
2
user9113509963282 :
mm naona Goodluck angekaa kimya na shukuru Mungu kwa kumvusha kwenye hili binadamu wana maneno mengi sana hata ujieleze vp hawawezi kukuelewa wataong
2025-01-26 18:39:48
1
calvincalvin2719 :
kuchanganyikiwa tayari, bado tu kupelekwa milembe..
2025-01-26 12:54:41
0
Kenya boy :
Mimi Kwa
2025-01-26 13:47:45
0
Irene Reen :
Chizi anachekesa akiwa hatoki kwenye familia yako pole kaka watu wanapitia mambo mengi sana inawezekana ni kweli kabisa hayuko sawa lakini sababu ni nini?? Ona kaka wawatu alivyokonda duuh inaumiza 😭
2025-01-26 19:48:33
3
Officialsesy🥰 :
hana shida yoyote huyu watu hamuelewi tu
2025-01-26 17:56:27
3
Sam :
Mwenye nia ya kukuua haachi kisa umechoma gari …kiuhalisia umekosa kuiweka vita yako wazi na kuifanya content
2025-01-26 19:29:58
2
To see more videos from user @mwendotv, please go to the Tikwm
homepage.