katika nchii hakuna watu wasenge kama nyie imigret na watu wa nida nimikundu sana mnajiona kama vile mnampa mtu uhai acheni ujing
2025-02-02 09:19:29
1
Nuhbishootz :
kwahyo kama sina safari hyo passport hainihusu?
2025-02-02 15:47:35
0
Richlifepaul_ :
kama sina safari nilazima nijaze taarifa za safari?
2025-02-01 06:19:46
1
jthegiant :
mbn hamjibu kama mtu hasafiri hawezi pata passport
2025-02-04 10:35:54
0
Mr.Tips :
afu malipo mara mbili ili kuwe na rugha ya kuzungumza ,kwani sysytem ina shindwa ku download automatic
2025-02-02 17:40:50
1
screenshot my country :
kwani kuomba password lazima uwe na safari?
2025-02-01 17:24:07
1
Queencarlen Oscar :
je kama huna safar unaitaji kua nayo endapo ukipata safar ya nje usisumbuke utafanyaj
2025-02-01 15:18:57
1
ENGINEER&OPERATOR PEYM💪👷💯✅ :
🫡
2025-02-01 14:28:18
1
MR.X :
Kwann mpaka safari ndiyo uwe na haki ya Kupata Passport?Neno haki ya kila mwananchi halina thamani tena inabaki kuwa haki kwa kila mwenye safari.Hapa ndipo serikali inapopoteza mapato kwa wenye haki.
2025-02-03 06:38:53
0
@jimmy65 :
alf kwann mnahitaj pesa kubwa hivyo kuna ulazima gan😢
2025-02-02 22:33:43
0
Elijah :
kma safari ya kutoka dar hadi kigoma?
2025-02-02 20:41:25
0
Mr.Tips :
tovut yenyewe haija kamilikaa ,
2025-02-02 17:35:54
0
mtafutajimpotevu2021🇹🇿 :
Mimi nipo zanzibar ila nimetokea bara naweza Fanya maombi nikiwa zanzibar
2025-02-02 08:30:27
0
screenshot my country :
admin tujibu
2025-02-01 17:24:20
0
PaulSteve :
nilikua naandika comment nafuta ila admin kwenye mafas za kazi mmetisha
2025-01-31 08:18:44
0
Tondolo Mbwilo :
👏👏👏👏
2025-02-06 17:29:23
0
Gao The Fixer :
💯💯💯
2025-02-02 17:38:24
0
SMART BOY MASAWE :
🥰🥰🥰
2025-02-01 15:00:48
0
ramjilimaikalimai :
✊🏻🇹🇿
2025-01-31 10:44:35
0
Linah💕 :
@Uhamiaji Tanzania kwahiyo mtu kama hana safari hatakiwi kukata hiyo ticket au mna maaan gani
2025-02-06 16:19:10
0
To see more videos from user @uhamiaji.tz, please go to the Tikwm
homepage.