@afyawarrren: *FAHAM KUHUSU TATIZO LA NYAMA ZA PUA* ➡️nyama za pua hujulikana kama ADENOIDS ➡️Hizi ni tishu zilizopo nyuma ya pua karibu na koo ➡️Hizi tishu huweza kusababisha tatizo kama zikikua kupita kiasi au kuvimba *DALILI ZA TATIZO HILI* ➡️kukohoa na kupiga chafya mara kwa mara ➡️kupata shida ya kupumua kupitia pua ➡️kupumua kwa kupitia mdomo,hasa wakati wa kulala ➡️kuongezeka kwa maambukizi ya masikio ➡️kukoroma wakati wa usingizi *NJIA ZA UTAMBUZI NA MATIBABU* ➡️ni muhim kumpeleka mtoto au mtu mwenye tatizo kwa Daktari kwa ajiri ya tathimini na utambuzi sahihi. ➡️matibabu yanaweza kujumuisha,matumizi ya dawa,upasuaji ➡️ushauri bure,mpigie Dr.warrren 0747549223