@najifunza.kwenu:

NAJIFUNZA KWENU
NAJIFUNZA KWENU
Open In TikTok:
Region: QA
Thursday 20 February 2025 09:56:18 GMT
82784
7197
147
583

Music

Download

Comments

nipphern
Nippher aby :
manshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-03-02 08:14:04
0
simonmusembi661
simon254 :
follow me guys
2025-02-22 20:59:49
0
wauza.magari.uzd.n
IBRAMAGAR TZ :
Amin
2025-02-20 20:40:34
0
user5292774293749
dadano :
YA TRUE
2025-02-21 12:07:57
0
user2770813495731
zakariy Salim :
amin
2025-02-21 07:05:27
0
otilia.pedro0
otilia pedro :
amin
2025-02-21 20:46:53
0
httpsvm.tiktok.co0675
https://vm.tiktok.com/ZMrGQnuN :
amin
2025-02-20 12:06:41
0
princessrahmaseifu
princessrahmaseifu :
shekhe nilisha wahi kuwaambia wanaume 3 wanioe ila siku fanikiwa
2025-02-20 11:52:21
11
fetty5093
tuma💛 :
mm natafuta mume jmn Allah anitie wepes allahuma amina🤲🤲🤲
2025-02-21 03:49:01
12
hasnat332
Hasnaa🌺 :
😭😭Shekhe ttz ukiwambia wanakuona km hauna soko kumbe mtu mwenyewe stk zinaa☹️☹️
2025-02-20 18:04:38
4
abuurayra.binjuma
Abuurayra Binjumaa :
asalam alykum waramadhulillaaah wabarakat ndg zangu katika iman mm nina swal apa kwa anae jua mm kipind cjaoa nilikuwa namuomba ALLAAAH saaana nipate mke anae weza kuvaa nicab anapokuwa anatoka nyumbn na nikampata na akaniaid yy ndo vaz Lake sasa ivi tuna mwaka mmoja na nusu ananiambia nicab inamuumiza macho nini ukum ya ili na mm furahaa yangu ni nicab
2025-02-21 14:10:54
1
a_sslan
A'slan :
kunambia nikuoe sio tatizo, Tatizo sina Ela 😂😂
2025-02-21 11:06:01
1
mussaabdallah677
Mussa Abdallah :
asalamu alaikm shek suwal mvutaj sigara ikiwa amefunga akagaflka muda wa mhana akavuta kidogo je funga yakeipo
2025-02-20 17:00:13
0
user6742433124142
user6742433124146 :
Amiin yarabi 🤲🏽 inshaAllah 🙏🏽🙏🏽 mimi ni mwislamu nilikuwa ninakuomba Ustadhi unisonee dua itakayomisaidia ilinimpate mume ambaye ni mwislamu awe
2025-02-21 13:23:34
2
dhiab_24
dhiab💫 :
hakuna mzanzibar Alia na ukimwii 😃😃
2025-02-21 07:57:41
1
user8771692940821
user8771692940821 :
she nitafutie mume
2025-02-20 18:41:49
1
lassanadr1
lassana :
sheikh ntaftie mtoto wa alfu mbili mie domo zege
2025-02-21 13:00:10
0
mamy.xahem
mamy xahem :
mnavosema ivo akimjibu ivo ndomana uchafu unazidi,nibora waolewe uwenda atatulia
2025-02-20 11:27:39
0
sofiakhamis
cute sophy :
jamani wengine wetu tumjrbu lkn wapi mungu amuongoze Kila mtu wengine tuna hofu ya zinaa ndio maana tunaongea
2025-02-20 22:59:25
1
ridhiwanmwakasie
ridhiwanmwakasie :
siku aje mwanamke anitamkie nimuoe kama anahof ya Allah na mwenye imani mwenye upendo kwa family niki mliziii imeisha hiyo
2025-02-20 15:37:10
1
lastbor352
lastborn 💕352 :
mmmh kwa vijana hawa ndio kwanz wataona umewasogezea nyama
2025-02-20 15:25:32
1
zakiaabdallahsheikh
zakiaabdallahsheikh :
aaah sija penda vile shally ame pigwa matukio
2025-02-20 12:57:49
1
user4029378268523
nadhfa hassan :
amiin
2025-02-20 11:44:03
1
user5977539136052
Hamis Ndauka :
safi sana shekhe
2025-02-23 07:52:40
0
allymohamedmang29
Ally Mohamed Mangoro :
nzuri
2025-02-23 07:20:54
0
To see more videos from user @najifunza.kwenu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About