@officialkingpotv: NILIKOSEA MASHARTI YA UTAJIRI KWA KUTEMBEA NA MZUNGU PART 1

King Po Tv
King Po Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 April 2025 20:25:21 GMT
88410
2356
83
100

Music

Download

Comments

josephchristopher73
josephchristopher :
Yuko wapi huyo mgang
2025-04-02 20:20:44
5
kakwilaizer77
kakwilaizer :
naomb namba ya mtalamu
2025-04-02 20:12:34
5
allan.samwel
Allan Samwel :
Nipe namba ya mtaalam😁😁😁😁😁😁😁😂
2025-04-03 05:12:37
2
athumaniiddy4
athumaniiddy22 :
naomba namba ya Mnganga
2025-04-03 06:40:45
4
ianwachugga
ianwachugga :
nip namb za mganga
2025-04-02 19:48:56
4
scasboy1
Scas Boy :
tupe namba ya Mganga mambo mengine tuachie sisi
2025-04-09 14:46:26
0
okay.okyesa
okoya.okyesa :
unachokiongea siyo kweli pesa za mashariti zipo sana ila wewe muongo Malawi kiboko ya utajiri wowote unaotaka njoo nikupeleke tena
2025-04-03 17:49:06
4
enjinia_chacha
Enjinia™ :
Leta Namba ya mtaalam kesi ishakuwa ngumu uku
2025-04-04 05:35:21
1
kope_og
.. :
hii ilibaki kidogo nijiunge sema nikawaza mashart ya ivi ukiyakubari ndipo unskutana midemu mizuri mpaka unajutia kumbe majini ya mgsnga yanakutega🤣
2025-04-08 11:20:29
1
tonadoago208
@tonadoago208 :
tupe namba ya mtaalamu 🙏 pesa halal hazitoshi🙏
2025-04-10 21:43:37
0
mickdadyhussein28
KiGuNiYa :
tupe namb za mtaalam
2025-04-03 05:20:34
4
muschokejnr
muschoke jnr tz :
muongo huyo hamna shrt rahisi hivo
2025-04-02 20:14:48
3
dreamleague465
shaidu :
Kila mtu anataka ela ya mganga hii nchi inavijana wa hovyo
2025-04-03 06:05:11
3
mrsmyself62
Mamichou ❤️😘 :
Mutakufa ivo ivo😀😀😀😀komesha masharti Matamu namupongeza Muganga uyo
2025-04-03 10:34:56
1
twiza006
TWIZAOUTFIT :
Yani usichepuke tu 💯
2025-04-03 19:38:53
1
silvanus.mloka
silvanus mloka :
kaka naomba
2025-04-03 19:10:41
1
barakantemi
barakantemi001 :
sio mkenya kweli huyu
2025-04-04 07:20:06
1
newland_phone_store
Newlandphonestore+255745151963 :
mganga kasema nipeleke punda akiwa anakunya
2025-04-03 20:29:10
1
user2036988112465
yohana :
uongooo
2025-04-02 22:22:22
8
amigo.deogratious
Amigo Deogratious :
mbona shariti lilikuwa jepisi tu
2025-04-03 14:49:18
1
mgaza_3
mgaza_ :
huyo alitumia nyota ya mkeo kukuwezesha wew ila ulipo mdharau na kuchepuka baac ukachangany mafail hapo
2025-04-03 18:18:31
1
s.musubao_9
sharif aboubacar_9 :
watanzania muna sema uongo kama mganga tu
2025-04-03 05:24:19
1
mashalashija
Mashala Shija :
han ata cha kuelezea alivokua muongo
2025-04-03 05:44:57
1
kisomizaidizachar
Kisomi Zaidi Zacharia :
kutokuchepukaa aloo hio sio rahisi unahela afu uwezeee
2025-04-03 07:49:47
1
j.kahango
Kahango Jr :
wengi mnasema shert ni jepesi, mimi niwaambie tu shert hilo ni jepesi sana kwa mwanamke, ila kwa mwanamume, hasa mimi Dah!! siwezi kabisa😄😄
2025-04-02 21:42:18
1
To see more videos from user @officialkingpotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About