@aqonlinetv: Umeamua kuoa mke zaidi ya mmoja, basi kuwa muadilifu, siyo mwengine unamnunulia dera la elfu 6, mwingine unamnunulia mturuki wa laki na sabini 🤣🤣🤣🤣 #trending #viralvideos #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #tiktokkenya🇰🇪 #swahilitiktok #tiktokzanzibar #mawaidha #mawaidhayenyemanufaa
alokuwa mume wngu alipo oa mke wa pili alifuta majina mazur yote alongside ktk cm yake na akanisave khayraa bac,, yule bimdogo aliseviwa kwa majina mazuri kila pembe,,haya hilo dogo tu lilimshinda mengine sisemi,,,alhamdoulillah nilitoka ktk ndoa ile🙏
2025-06-04 10:34:15
8
ma wiiiiii :
ninacho amini amna mtu ambae anaweza gawanyisha upendoo,,lazima mmoja ataumiaaa
2025-06-03 10:15:36
5
zaitunmohamed460 :
yalinikuta hayo shahat ikafikia mda nikadai talaka bakwata na nikapew ila haki yangu ckupew ,kwa sasa uislamu hanma hadi bakwata wanakula rushwa
2025-06-17 14:18:10
3
momo of triplets :
Sina neno....nakumbuka baba angu tokea ameoa mke wa pili kazamia huko.....Kwa kumbukumbu zangu, alikuwa akitoa matumizi Kwa nyumba kubwa kama vile anajitolea msaada tu, na si jukumu lake, mama hata chupi hajawah nunuliwa tokea bb alivyooa tena....😭😭😭😭, mungu katubariki Sasa tukinunua chupi dozen mama nae tunamgaia...🤗
2025-05-24 14:51:30
5
ahh :
tunapiga goti tunamuachia Allah başı apo mbele yajayo yanafurahisha choz la mwenZio utalilipia
2025-05-25 13:55:09
1
ummu_maysoon🥰😘 :
hawafanyi uadilifu
2025-05-24 20:55:35
1
my heart😥 :
he kama alipangishiwa labda ya mm wakawawanishi maisha yao walikuwa wakipata nyumba Sam time wanakata nyumba rom 2 ama kunamda wanakata chumbakimoja baadae akajakuowa wa pili akajakupangishia rom moha na sting rom na tule mwingine bado nimewakutanvo ila nimakubaliyano yao2
2025-08-02 21:30:35
1
reay🥰❤ :
Hayo ya uwadilifu ndio kzazaaaaa🤣
2025-06-16 17:41:01
1
Mrs kassim 🥀 :
Alhamdulillah mume wetu ni muadirifu na muaminifu Allah amuwekee ampe afya njema
2025-06-21 14:59:40
7
MRS SALIM :
hio ndio shida anaolewa mke mdogo mkubwa kaachiwa majukumu ya wanawe afanye kazi alee wanawe mume ajua kukuzalisha tu ndio maana hatutaki uke wenza
2025-06-03 08:01:23
1
azizamtwalizya :
kila mja atatumikia dhambi zake
2025-05-27 07:58:51
1
user5726965093024 :
upo sahihi
2025-05-24 06:50:54
1
@sumaiya s Njeru :
swali dada. ikiwa huyo mume hatupei haki sawa... itakuwa aje
2025-05-24 15:41:31
1
jojo :
kweli uwadilfu sasa ndo kipendle
2025-05-24 09:12:45
1
rehemajuma2806 :
ndiyo zawo hawawezi uadilifu
2025-05-24 18:13:14
1
Miriam~❤️ :
dada kunywa soda naja lipa
2025-06-21 18:28:03
1
Husna hasani🌹 :
Sasa mumewangu bibiyake mkubwa kamnunulia gar lakn mimi bado lakn huduma zote anatoa
2025-07-07 19:26:13
1
ahh :
apo ktk mapenz heheeeeee
2025-05-25 13:54:39
1
Abdullatif Juma :
Natafuta mwanamk nimuoe serious kama upo tyr njoo inbox
2025-06-01 09:55:25
1
h@shu@ 112 :
Awahui dada mtihani mzito mungu awaepushe na hii dhambi!
2025-05-27 05:21:28
1
queendina82 :
ukwelii kabisa
2025-05-24 19:51:06
1
🥳🥰😘MRS MUSLEY😘🥰🥳 :
mie mume kaowa kanitowa kwenye nyumba nilikuwa nasmamia kila kitu ujenz yeye hay upo ,kanitowa na jamaaa zake kwa mapungufu ya binaadamu kaowa kamuweka kwenye ile nyumba mie ety nikodi upya na watoto kawapeleka huko kwa bibie mpya je hiii haki?
2025-08-20 14:27:46
0
Mariam omar :
madhali nimeolewa mengine atajuwa yy na mungu wake🥰🥰
2025-06-15 16:05:01
0
selemani dasilver :
ukhty mm mumewangu anawake wawil lkn anahudumia nyumba kubwa tu nakulala alikua nalala nyumba kubwa tu miaka4 juz ndo kaanza kugawa zam ila huduma Han
2025-08-07 12:50:42
0
Dedusha :
chakula wenye watoto 4 wananunuliwa vitu singing kuliko mwenye hana
2025-07-04 13:24:05
0
To see more videos from user @aqonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.