@chichys__kitchen: Hii ni njia rahisi ya kupata nyama nzuri ya foili 😍 Niambie kwenye comment ungependa kula nyama hii na nini? #easyrecipesathome #EasyRecipes #ticktocktanzania🇹🇿 #cookingtiktok #mwanzatiktok #mwanza #nyamachoma

Chichys__kitchen
Chichys__kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 June 2025 10:28:06 GMT
831675
12782
409
3391

Music

Download

Comments

h.9_18
9:18~🎀✨️ :
ningependa kula nyama iyo na mdomo 😌😁
2025-06-09 13:53:06
319
understanding_boyfriend
Maishaplan :
sauti kama ya tangazo la serikali😂
2025-06-10 14:30:13
206
amanipeter305
amanipeter305 :
usiweke foil kwenye oven ni hatari
2025-06-10 13:45:10
16
user1612254678532
Zai me :
uvivu wa kwandaa chakula kilicho iva kwa ubora wake na ndo maana hamuishiwi magonjwa ya mlipuko maana mnakula v2 vya hovyo
2025-06-09 12:46:45
16
zla539
Zanzibar ❤️ :
Foil mbaya sana kuipikia na chakula
2025-06-10 07:18:21
10
katy.greth
Katy greth :
kwenye air frayer foil haiwaki???
2025-06-09 20:07:43
3
thinkverse_ke
ThinkVerse :
Moto wa mia mbili ndio nini?
2025-06-10 09:58:16
5
laurarashid299
laurarashid299 :
Km huna oven iweke juu ya makaa ya moto inakua tam na lain ajab🥰
2025-07-28 12:23:13
2
kombe_clever01
Kombe_Clever01 🇹🇿🇰🇪 :
Ningependa kula na mdomo
2025-07-22 20:21:03
4
zuuh4lyfe
Züú4ly7ë :
me naiweka ikiwa mbichi kabisaaa na viungo vyote nipendavyo halafu naweka Kwa jiko la mkaa masaa 6. aloooo😋😋
2025-08-20 06:08:44
4
dr_dayanatips
user05167998148 :
oveni haikubali fowil
2025-07-12 14:03:33
1
pimpareller1
Pimpareller praluchi :
Nampishi
2025-06-27 13:11:55
1
feddy.quality.furnitures
FEDDY QUALITY FURNITURES :
nikajua unachezea kinyesi🥺
2025-07-30 08:00:15
1
marycelinewellnessfithub
Maryceline Wellness Fit Hub☘️ :
it's suits better with mashed potatoes😘
2025-06-09 11:13:53
7
jpeg09876
jpeg :
na umepika kidogo
2025-07-26 06:53:33
1
esther.wange
Esther Njoya :
wewe mkamba ao sio embe kwenye nyama hiyo utaikula solo 🤣🤣🤣🤣
2025-07-20 16:57:51
2
blasius.abel
BM360 :
kumbe aluminium foil inatumika kupikia!! lol, vp kuhusu leaching? hii nahisi ni abnormal use. ma doctor mtusaidie kwa hili
2025-06-10 18:18:01
5
cutezay64
ZASHA COLLECTION :
yan mpaka kufikiria ningekula na nin ingekuwa ishaisha🥰😇
2025-06-10 06:58:20
11
joan72432
joan :
foil inasababisha cancer
2025-06-18 12:26:24
2
user61418175139342
Sengobad :
Ndio maana kansa zimekuwa nyingi
2025-06-24 18:13:29
2
max.pku
MAXIMILIAN🇹🇿 :
Maembe ya kuchoma 🤝
2025-06-24 17:29:42
1
naynahcollection
Naynah collection :
😂tuna majiko ya mkaa waugwana🙌🏻
2025-06-17 15:35:11
1
felistermarcely
felistermarcely :
Ambao tuna majiko ya mkaa na kuni tunafanyaje🤷‍♀️
2025-06-09 13:51:51
1
neemamapamba
neemamapamba :
mama sita nini
2025-06-29 18:30:34
1
functionfx
functionfx :
mm natuumia njia hiyo wewe je?
2025-07-04 15:27:48
3
To see more videos from user @chichys__kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About