@afyayakojukumulako: Ukiona baadhi ya dalili hizi na unahisi unaweza kuwa mjamzito, ni vyema kufanya kipimo na kuonana na daktari kwa ushauri zaidi. 🤰Naikiwa unapata dalili hizi lakin ukipima una mimba una changamoto tafuta tiba. 📍follow ili uweze kujifunza zaidi kuhusu afya ya uzazi #fertilityawereness #healthy #pregnantlife #pregnant #healthytips #videoviral #creatorsearchinsights

Mwangazahealthcare🎆
Mwangazahealthcare🎆
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 June 2025 11:26:39 GMT
603615
6415
223
352

Music

Download

Comments

annethmanang
ngakisali1 :
Leo nakutana na video za mimba tuu cjui kwann
2025-07-02 10:23:16
70
officialbintyjuma3
user4383509861808 :
Mbaka hapo kimeshaniramba ngoja nikapime tu🤣
2025-07-05 10:09:04
10
rehema.said68
REHEMA SAID :
mim ni mjamzito lakini yote hayo ninayo je nitumie dawa??
2025-06-18 13:55:22
2
fabiola.jolie
Fabiola jolie :
Tayal dalili zot ninaz nilihisi ni period 😥
2025-07-15 11:03:18
3
janequirah
janequirah :
Hizi clp kulikon kila nikiingia nakutana nazo
2025-07-13 06:25:41
11
feynar
feynar mursary :
kumbe sasa n kitu gn kinafany mpk unakuwa unahisi kukojoa kula saa mm ilinitesa hii nkajua na uti msikin mm😂😂
2025-06-18 08:36:21
1
gladdy.kim
MISS MOSHI BRAND FUSO :
mbon me nakikoa san but sin mimba kwann
2025-06-17 20:33:32
1
councelor7
COUNCELOR :
na je ikitokea una dalili zote ila huna ujauzito inakuwaje
2025-08-03 20:58:31
2
littlegee31
@pop clunch☠️☠️ :
hapa sasa kwel kimeuman kwang ngj nikataft kipimo😭🤣
2025-06-20 09:18:22
5
user77sapp
Ms simple 🥰🫶 :
docta mm natumia njia ya uzazi wampango na sjapata sku zang miez 2 na maziwa yamevimba n yanauma na nkipima hakun mimba n nn nisaidie
2025-06-18 09:21:35
1
mrs.m6800
Mr's M❤️🦋 :
ivi matone ya damu ni lazima kutoka wakat wa mimba
2025-06-21 18:13:11
1
user7827504167386
sarah :
sasa mbona mm nina dalili zooote ila sijaona matone ya dam si itakuwa ni mabadiliko ya mwjli tyuu na so mimba
2025-06-28 09:06:54
2
luthlabani
Luth rabani :
mie napima mimba cna ila nikiminya maziwa yanatika
2025-07-10 12:50:04
1
user2685637178772
melly :
mimba ya wiki Moja ukipima unaonekana?
2025-08-06 15:03:23
2
user53188480839978
Moïse Kasereka :
Amen
2025-06-20 12:15:15
1
zanzibar663
ZANZIBAR SWEETHEART 🤭 :
eee mungu hata mm nione hiz dalili nakuomba sana
2026-02-23 22:26:23
1
lilimchau
cailola❤️🦋 :
mm siku hizi mimba naiogopa huyu mtoto wakwanza nipumzike tuu mmmh mimba niache kwanza 😂😂😂
2025-08-06 10:51:14
3
user780600254319
pretty ty :
mm najiona najaa tumbo na jasho jingi san kwaiy nikapime au
2026-02-11 05:38:53
1
vaisweet0
vaileth yanga :
vyote vipo
2025-06-17 15:02:46
1
006neyla1
Ne💜Ha❤J :
Mm naona kimeumana kwangu sasa sina budi jamani naomba ushauri☺️
2025-06-20 16:24:13
2
madambeatriceww.tiktok.c
beatrice ♥️♥️ :
kwani mimba ikiwa na week je inaweza kuonekana ukipima
2025-07-03 18:18:41
2
halimasaid960
🫶🥰🙏 :
Doctor mimi napata maumivu makali ukeniii na nina dalili zote za mimbaaaa😪
2025-07-25 10:47:32
2
pjosephmbasa
pjosephmbasa :
Hapo kwangu kimeumana napata sana haja ndogo leo siku ya 5 au 6 tangu nitoke siku zangu za hatar
2025-07-23 08:48:18
3
amrina370922216990
amrina :
Kwann mm nilikuw nakos usingiz kipind na mimba chnga
2025-08-09 07:36:31
2
myramrs
🥀myra🦋⚘️ :
mimi ni mjamzito na dalili zote hizo ninazo
2025-06-20 04:31:26
2
To see more videos from user @afyayakojukumulako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About