@emmanuelkawishe1: 𝙈𝙩𝙚𝙣𝙙𝙚𝙚 𝙢𝙚𝙢𝙖 #gospelmusic #trendingvideo #fyp

Emmanuel Kawishe
Emmanuel Kawishe
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 June 2025 08:09:14 GMT
388979
16181
154
3764

Music

Download

Comments

user4968703154771
mamy brianna 🙏🥰❤ :
jamani hii nyimbo inaitwaje
2025-06-22 18:47:16
3
florachaky1
Flora49 :
wimbo wa nani jamani
2025-06-21 13:00:45
3
emmanuelkawishe1
Emmanuel Kawishe :
𝙐𝙠𝙞𝙩𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙬𝙚𝙢𝙖 𝙝𝙪𝙣𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙖𝙘𝙝𝙤𝙥𝙤𝙩𝙚𝙯𝙖 🙏🙏
2025-06-21 08:10:43
75
mamake.reen
mamake reen :
nimetenda wema hadi nikaona sasa najichimbia shimo niingie mwenyewe.nimeshindwaa😭
2025-06-22 17:12:13
24
user8172244295278
beby mankaa😘😘 :
eeh mungu anisaidyeee niwezee kuish katik wem n utuuu pamoj n busaraa
2025-06-21 12:14:48
10
ndimiskincare
Ndimiskincare :
uimbaji I nikipaji nahapa kinadhihirika
2025-06-21 23:10:48
12
snaidamwawa
Nnai Hance :
voice of victory
2025-07-01 16:14:40
4
robinsonnasiib0
robinson nasiib279 :
wengi wanajilaumu 😢😢 kuwa walikosea wakati wa kutenda wema wao wakaumiza na Sasa hawako pamoja🙏🙏
2025-06-23 16:34:31
3
ainealazaro18
ainealazaro795 :
mtendee akiwa hai macho yake yakiona@😢😢
2025-06-21 12:08:47
16
pixxmoleli1
Rose Stephen :
Mungu nisaidie
2025-06-21 13:01:18
4
dido0084
Dido :
mmmmh hapana kwa hapa nilipofika inatosha, sitamtendea chochote
2025-06-30 02:20:59
1
tiiiiiktok_user
Tiktok User :
Kama ukitenda wema huna utakacho poteza
2026-01-25 06:09:36
1
ednamayala
Edna Mayala :
Nimetenda sana wema lakini malipo niliyolipwa mungu ndiyo anaejua
2025-08-02 19:46:14
3
naomisalum1
naomisalum732 :
kuna wakat moyo unachoka kwa maumivu ya malipo ya wale ninaotenda mema kwao 😭😭ila bado ndani kuna dai niendelee tu japo wanaumiza sana jmn😭😭
2025-06-22 15:18:32
6
vahukaye
vahukaye :
dunian tunapita tenda wema nenda zako ucngoje shukuran malipo ni kwa Mungu Mungu anaona
2025-06-24 04:26:29
1
smwashitete
Stephano Mwashitete :
Ujumbe mzito sana huu kwamtu mwelewa, asante sana 🙏🙏🙏.
2025-06-27 03:49:23
2
kenyatta194
kenyatta19 :
Tunaomkubali abwene tujuane🙏
2025-06-25 18:55:13
1
neema7433
neema :
nilitenda haukuonekana 😭
2025-06-22 13:11:50
4
lizzy070320
Lizzy❤️ :
Amen inshallah nitamtendea mda ukifika wa kuwa kwenye ndoa
2025-06-23 10:07:16
1
rahel.thomas7
rahel :
Ukitenda wema usitengemee kulpwa na ulie mtendea
2025-06-26 13:42:15
1
samehechikuneni
Samehe Chikuneni :
shida unatenda wema halafu una hesabu hapo inakua kazi bur🤔🤔
2025-06-23 14:35:49
2
annauser7766029138159
R🌹 :
jina la wimbo please
2025-08-21 07:11:26
0
irene.daudi1
Mom evangeline ❤️❤️ :
wakati wa kutenda wema😌
2025-06-21 20:13:40
2
agnetha400
AM Min market :
😭😭😭😭😭😭walitamani watende wema ,lakn wanajilaum Kwan wenzao hawapi tena😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-06-21 16:45:59
4
jamalikihanza7jk
jamalikihanza6020 :
upendoo wa dhatii unanguvuuu sanaaa katika maishaa yetuu
2025-06-26 18:12:30
2
To see more videos from user @emmanuelkawishe1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About