@aboubakarsadik01: #Pombe #Tiba

aboubakarsadik01
aboubakarsadik01
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 16:34:51 GMT
445961
7638
549
6348

Music

Download

Comments

shakilaahmed514
shaky :
wanawake shauri zenu mkiwawekea waume zenu wakiacha pombe hela za chama mtatoa wap😁😁wakati mnawaibiaga wakilewa🤣🤣
2025-07-29 20:34:40
90
rcadamsxi
RC ADAMS Xi :
Namshukuru sana mke wangu alinitengenezea hii dawa jamani nilikuwa addicted wa pombe jamani huwezi amini nilichukia pombe hadi leo nakunywa konyagi tu
2025-07-30 06:19:39
34
rizoo255
user1294385361159 :
mm ntabadilish nahamia kweny windok yaan mm niache konyag ilivyo saf nikute na vitu vyeus ninywe😂 nnawazim
2025-07-29 18:19:05
4
25x.dogo.tz
25x Dogo tz :
Akunaga dawa yakuacha pombe wew mtu akiamuwa anaamuwa tu 😭😭 wew auna hela tu mbwa wew 😭😭😭
2025-07-30 04:19:17
3
leah.devid
Leah Devid :
Jamani yakuacha bangi maana duu
2025-07-30 20:23:59
5
mtuisdoughter
Mtui'sdoughter✨ :
unamwekea aache pombe anakuwa Malaya 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 19:04:35
8
rosekalutha71
rosekalutha71 :
Firigisi Ndiyo nini? Congo swahili mbovu
2025-07-30 03:46:08
0
juliejy28
Jullie :
pombe iliwakosea nn😁😁😁
2025-07-30 04:55:01
4
joachimcimalamung
lokombe :
frigisi ndiyonini
2025-08-22 13:16:03
0
mgandamango
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
HUYU TUSIPOMKAZIA ATATULETEA DAWA YA KUACHA KUTOMBA
2025-07-30 11:09:43
6
polline.shirima
Polline Shirima :
kaka ukishaosha ndiyo nikaange please nisaidie kaka angu anatusumbua
2025-08-03 08:00:58
0
user86288628557116
user86288628557116 :
dawa ya kuaacha bangi, mirungi ni nn?
2025-07-31 10:00:02
1
guluog17
sumle 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
nyingine Mavi ya kuku makavu unasaga weka kwenye pombe asijue mlevi
2025-07-29 19:01:58
5
priskalyimo
Priska Lyimo :
nimemwambia shoga angu amfanyie hivyo bwanake akasema nimuache amalizie rejesho kwanza maana akirudi amelewa ndo anamfaidi sa sijui anamfanyiaga nini😂😂
2025-07-30 06:56:17
0
kleanreyedy
mumlee❤️❤️ :
dawa ya bwana malaya 😂😂
2025-08-01 08:26:32
1
dawaa635
faaaaa7 :
dawa ya kuacha zinaa je
2025-08-03 07:42:26
0
sophia.hassani.ma
Sophia hassani masiki Sophia :
mm nimemtengenezeya mdog wang nimempatiy leo kesho kalewa ten afai naona kama iyo dawa aijafany kazi
2025-09-03 05:04:25
0
usermeja4
Mr kagan :
sio filigisi 😂😂😂😂 uliza ujuzwe😂😂😂 eti filigisi utauwa watu
2025-07-30 06:38:17
2
captain2191
Captain JR :
Shenzi kabisa nyie
2025-07-30 09:27:50
1
yofulo
yofulo :
doctor twambie ya kuacha bangi tafadhali
2025-07-30 11:18:27
1
restutamanumbu
restutamanumbu :
hapo kwenye ngozi jamani msaada nilile gamba lenye uchafuuu??
2025-08-04 23:04:29
1
tomkrazie
Tom krazie! :
kuacha pombe sio shida shida unamuachia nani
2025-08-01 15:40:54
1
tinateo01
tinateo01 :
na sigara
2025-07-30 11:25:22
1
annettelyimo
Annette Lyimo :
aache pombe aanze kuugua, depression, stress, pressure sukari hapana kwa kweli
2025-07-30 14:01:29
2
mbwam
Charles Mbwambo :
Huyo Binti mfukuzeni haijui firigisi😂😂😂
2025-07-29 19:13:51
3
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About