@snowvani5: Hát tại viện dưỡng lão

Ngọc Tuyết
Ngọc Tuyết
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 28 August 2025 07:09:55 GMT
10986
134
8
4

Music

Download

Comments

giale198x
giale198x :
Tuyết ơi hay qua
2025-08-28 16:06:23
2
baohan_livestream5
BaoHan.Livestream :
Ý nghĩa quá ck ơi 😘😘😘😘
2025-09-02 23:51:52
1
huyen_joliee
Huyen Jolie :
Giọng hát hay quá 😍
2025-09-04 17:12:56
1
_cuxuhao_
Nguyễn Hảo 90 :
🌹🌹🌹
2025-08-28 08:00:10
2
kham.pha.cac.dia.diem
beautiful girls :
🥰
2025-08-29 12:25:01
0
To see more videos from user @snowvani5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Watanzania wameaswa kuacha kusikiliza wanaharakati na wanasiasa wanaochochea vurugu na uvunjifu wa amani nchini, kwa kuwa watu hao hawana nia njema kwa Taifa Rai hiyo imeitolewa leo, Alhamisi Juni 04. 2026, Jijini Dar es Salaam na Mwanafalsafa wa Pan-Afrika kutoka Zimbabwe, Dkt. Joshua Maponga wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliohusu uzinduzi wa makala inayozungumzia Matukio yaliyotokea Nchini kabla na baada ya Oktoba 29.2025 (Siku ya Uchaguzi Mkuu), makala ambayo imeandaliwa na kampuni ya African Spear Head Media Katika maelezo yake, Dkt. Maponga amedai kuwa baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO's) yamekuwa yakipokea fedha kutoka mataifa ya nje kwa lengo la kuhamasisha vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili na amani ya nchi, ikiwemo vurugu na migawanyiko kati ya wananchi na viongozi wao, ambapo amesema hali hiyo ni hatari kwa ustawi na usalama wa Taifa, hivyo kushauri serikali kuchukua hatua za kufanya uhakiki wa mashirika hayo ili kubaini vyanzo vya fedha wanazopata na namna zinavyotumika Aidha, amedai kuwa watu wanaochochea vurugu mara nyingi huishi nje ya nchi katika mazingira mazuri, huku wananchi wanaoshiriki machafuko hayo wakikabiliwa na madhara makubwa ikiwemo kupoteza maisha, mali, uharibifu wa makazi yao nk Sambamba na hilo ametoa wito kwa Waandishi wa Habari  kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu athari za maandamano yasiyo ya amani na vurugu, akisisitiza kuwa matukio kama hayo yanaweza kuathiri maendeleo na rasilimali za Taifa #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

About