@koppachannelislamic: Adhabu kali itawafika kwa wale Viongozi ambayo hawatawali kama mwenyeezi mungu na mtume wake alivyo fundisha. Kumbukeni Viongozi wote kwa Duniani hii kumbukeni kumeandaliwa shimo kubwa ndani ya moto wa Jahnamu. #koppakhamis #koppachannel1 #koppachannel #kipazasauti🎙️ #sheikhsaidbafana

koppa channel Islamic
koppa channel Islamic
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 September 2025 09:10:31 GMT
31935
1561
32
238

Music

Download

Comments

starlinahmed1
@salwa :
sheikh Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu yaa ibadah
2026-06-12 18:28:48
5
user9987195378268
parfait hakizimana :
111zZ
2026-04-16 15:06:20
1
user1265612291497
abdully :
hakika dada rahma umesema kweli hajamkusudia mtu mmoja wala kiongozi mmoja bali ni nasaha kwa wote na ungozi ni hadi ngazi ya vijiji had ktk kaya yani familia wasimamizi wa miradhi wapo wanaowadhulum had mayatima/wajane nk
2026-08-05 11:09:40
1
miss.jaha6
miss jaha🍇 :
masha llah
2026-07-02 14:46:09
0
wwmillionnaires
Séraphin Cardinal :
takbir
2026-08-21 18:56:08
0
abdultz096
Abdul Tz :
Anawasema viongozi wote in sha Allah watacha ila kam hawezi kuacha dah!!!
2026-09-16 14:02:22
0
user6008792908482a
Ally Simba :
safikabisa
2026-06-13 18:10:33
0
masoud.salum3
Masoud Salum :
wagee sawa waelewe
2026-06-17 16:00:45
0
iddihussein253
Big jr :
Naam
2026-08-18 08:37:49
0
paulobatlaite
Paulo Batlaite :
mungu akubariki shekhe hakika nimeamini mungu amekutumia kuwaonya hawa viongozi wasiojuwa utu wanafiki wauaji na mafisadi
2025-09-17 16:22:54
6
aliibrahim5754
Ali Ibrahim :
kweli kabisa hajataja mama samia
2025-12-12 19:09:58
3
hassanefaustine
Hassane Faustine :
𝚃𝚊𝚔𝚋𝚒𝚛
2026-07-20 17:53:52
1
j.9021989
thawry :
Nani kakwambia wewe ndio mizani, unamtabir mama wa mwenzio kuingia katika shimo la moto Kaa ujue kuwa "mambo huangaliwa mwisho wake". Hata wewe unawez
2025-09-09 15:05:28
5
sakeena.alhajri
Sakeena Alhajri 🇴🇲 :
Allah peke yako anao jua nani ataenda peponi na nani ataenda motoni💔
2025-09-18 04:28:43
4
farhat.designer
farhat designer :
huu ni uchonganishi hajasema mama Samia Wala nani ila ametoa wasia kuchagua viongozi wazuri
2025-09-28 18:58:57
4
user4624920553729
chidy :
SUBUHANA llha
2025-09-09 12:10:34
2
user5780011819524
hadijah :
kweli
2025-11-07 18:05:02
0
user188881wk282
Black papac :
mungu akulinde
2025-10-12 11:51:18
2
maruti.hussein.sr
MARUTI HUSSEIN SRK :
haki
2026-05-04 21:41:35
0
user88259094862884
wafaaحبيبة سالم :
subhanallah
2026-09-30 18:47:52
0
ibrahimabdimursal5
Ibra ka ibra :
subxanallah
2026-05-22 08:07:47
0
mussa.sakai
Mussa Sakai :
saidi bafana kafariki
2026-09-20 20:29:57
0
ramadhani.bakali8
Ramadhani Bakali :
😁
2026-02-15 14:52:54
1
official.king.bang
@official King Bangil Jr tz :
🙏
2025-10-13 07:44:47
2
jibril8464
JIBRIL :
🥰
2025-10-18 13:55:08
2
To see more videos from user @koppachannelislamic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About