usitudanganye
kila kuku anajua watoto wake, ambao sio wake anawapiga
2025-09-24 15:58:38
36
690142 :
sasa vitapataje joto hivyo vifaranga
2025-09-24 15:36:24
5
sadick kadege :
hoja ya msingi hapa mambo yote yenyedalili za uvunjifu ziwekwe hadharani watu wapatekweli .vitovu vya wanawainchi vinalilia nchi yao pameanza kuchanga
2025-10-05 10:18:10
1
stephano bryton :
kumchosha tu, kilakuku abebe msalaba wake
2025-10-13 12:11:20
14
Ryder_g12 :
shida sio kumpa vifaranga voo shida kunguruuu
2025-09-25 21:25:26
1
EYES👀 OF WAKANDA :
😂😂 nilikuwa na kuku yani hat wakitotoa siku moja ukimwekea anajuwa si wake yani kama anawahesabi WATOT kawe yani ikimwekea wa mwingine atampga na alikuwa mlezi kweli ila ataki wa mwingine
2025-09-24 14:09:37
9
diaby l'OM :
comment ce possibles toute ça la
2025-09-26 09:01:13
1
Adoking Boaz :
🤣🤣🤣 kuku anawza pata kichaa vifaranga 100
2025-12-05 10:13:01
1
baba D :
Habari nnashida ya vifaranga wa kienyeji
2025-09-25 06:42:21
0
julias e_Jeremy :
wangu wamekufa wote 50 🥵😪
2025-09-24 12:37:13
2
SA-8-GECKO💥 :
Mimi kuku wangu karibu 23 wana leleana vifaranga shida ni moja vifaranga vikifikisha kama 3wks vyaandza kufa Hadi vyaosha ama kibaki kimoja
2025-10-03 23:01:20
3
makamemzee makamemzee :
boss mm nahitajikujifuza nifany vp
2025-09-25 19:12:35
1
Mama dable D :
Niuzie vifaranga
2025-09-26 04:01:11
1
Seth Kivuyo :
kuku wa dizaini hizo huwa wanalea watoto sana
2025-09-26 03:57:52
1
Tumaini35 :
likuku langu ukilisumbua tu kidg tu, linaacha mayai
2025-09-24 15:56:30
1
KEITAKID_23 :
kwa meno gan ya kuku kung'ata vifarang
2025-09-25 12:16:48
3
DULLY AMOUR :
sio kuku wote wanaokubali watoto ambao sio wake me Kuna kuku nimemuekea watoto usiku asubuh kaamkanao kawaona tofaut kawauwa watoto wote
2025-09-27 18:30:09
1
Mtu wa Mungu :
kuku anawajua watoto wake tena anaakili
2025-09-25 16:20:24
2
@Hunderson :
me likuku Lang limeua wote ambao halikutoa lenyewee 😂😂
2025-09-24 15:58:11
1
KEVOG📛 :
Kuku sio mjinga.... Anafahamu wanawe vizuri sana
2025-09-24 18:31:41
1
Hamida Bakari :
Niko nawangu mzuri sana asante
2025-09-24 11:40:54
2
msunyunyu :
Anajuwa sio wake atawapiga hadi wafe
2025-09-24 19:00:44
1
Aishaha kondo :
mbona nafanya hivyo ila halishi wote washibe?
2025-09-24 19:43:54
1
user1409857354005 :
sijafahm nifahamish
2025-09-24 14:36:41
1
Liverpoolfc Kopites :
Kuku wangu nimempa vifaranga 20, kuna jinsi ya kumpa ukichanganya anapiga anauwa.. mida ya kumpa vifaranga kama vinarangi tofauti na alivyokuwa navyo unampa siku ya pili ya kumaliza kutoto tena usiku asivione asubuhi akimka anajua wakwake .. ila ukijichanganya anauwa vyote.. zoezi hili ni siku ya kwanza ya kutoto na siku ya pili tu ila kaka. ifarangao wote wana rangi moja haina shida unachangaya hata mchana
2025-09-29 13:16:11
1
To see more videos from user @mrjs.kukutz, please go to the Tikwm
homepage.