Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@wks807030: #ตอนที่6-1 ทนายสายเดือด
ชวนดูซีรี่ย์
Open In TikTok:
Region: TH
Wednesday 29 October 2025 09:12:15 GMT
504
31
1
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
57.46MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
57.46MB
)
Watermark .mp4 (
77.11MB
)
Music .mp3
Comments
jeerayut 639 :
🥰🥰🥰
2025-11-19 05:22:54
1
To see more videos from user @wks807030, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#fyp #foryou #viral
The Gumball 8k wallpapers #wallpaper #wallipics #Gumball #gumballwatterson
Bi. Felister Akonaay, mwenye umri wa miaka 60, anatarajiwa kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwezi Novemba mwaka huu katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu, akitoa somo kwamba elimu haina ukomo wa umri. Bi. Felister alihitimu elimu ya msingi mwaka 1982, lakini ndoto yake ya kuendelea na sekondari ilikatizwa na changamoto za kifamilia, ikiwemo kifo cha baba yake. Baada ya kuingia katika maisha ya ndoa, kupata watoto na wajukuu, hakuruhusu changamoto hizo kuifuta ndoto yake. Aliamua kurudi darasani na kuanza masomo ya sekondari, ambapo tayari amemaliza Kidato cha Kwanza na cha Pili na sasa anaendelea kujiandaa kwa mtihani wa Kidato cha Nne. Akieleza sababu ya kurejea shuleni, Bi. Felister amesema alikuwa na ndoto ya kwenda sekondari tangu utotoni, lakini hakupata nafasi kwa wakati huo, hivyo alipoipata fursa baadaye maishani akaamua kuitumia kutimiza ndoto yake. Amewataka vijana kutumia vizuri fursa za elimu walizonazo na kusoma kwa bidii ili kufikia ndoto na malengo yao. Walimu wake wamempongeza kwa juhudi, nidhamu na ujasiri aliouonyesha katika safari yake ya elimu, wakisema amekuwa mfano wa kuigwa kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Safari ya Bi. Felister inabeba ujumbe mzito: kuna ndoto zinaweza kuchelewa, lakini kuchelewa hakumaanishi zimekufa.
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy