@maadu_707: Geo khan G😎🗣️#grow #account #burhantv #flypシ #poytry

maadu_707
maadu_707
Open In TikTok:
Region: BH
Saturday 22 November 2025 10:03:53 GMT
68586
3652
21
353

Music

Download

Comments

rehansommro01122
ریحان سومرو 804 :
usne apna chahra badla hm ne uske sari shakl hi be niqab kr di ☺️
2025-11-22 19:43:39
1
noman_ali886
👑⃝✿ ⃪ͥ͢ ᷟ𝙉ع𝙈𝙖͢͠𝙉✿⃝👑 :
soch Kar bataon ga🗿
2025-11-22 11:40:34
2
dark.girl471
💫🎓🤲MANTAL GIRL💝📖✍🦅 :
same beyshuk 🦅🦅🦅
2026-01-06 08:03:40
1
mirza786hd
@￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ :
Geo 🔥🙌🏻🙌🏻
2025-11-22 14:26:10
1
tasbihullah8082
Tasbih :
❤❤❤
2025-11-23 19:22:59
1
wasifm007
WMAwan ❤️🥀 :
💖
2025-11-23 23:05:27
1
asjad7281
𝔖🌙 :
@Asjadali625
2025-11-24 03:37:24
1
rehmanawan055
AWAN :
❤️❤️❤️
2025-11-24 18:38:27
1
hamzakh1237
Hamza Khan :
🥰🥰🥰
2025-11-24 11:01:53
1
khursheed.bhuttoal
khursheed bhuttoAl :
👍
2025-11-25 04:34:24
1
zainiawan058
MALIK BRAND :
😌😌😌
2025-11-25 06:53:53
1
hafeezjan809
hafeezjan809 :
💕💕💕
2025-11-25 09:51:21
1
aponsarkar6060
মো রেজাউল করিম :
💀💀💀
2025-11-25 09:57:25
1
truelines044
Dani :
❤️❤️❤️
2025-11-22 17:42:28
1
m_sharjeel007
𝑆ℎ𝑎𝑅𝑗𝑒𝑒𝑙 𝐵ℎ𝑎𝑡𝑡𝑖 🫀 :
♥♥♥
2025-11-22 10:09:49
1
n.a.d..e..e.m
Nadeem :
🥰🥰🥰
2025-12-14 08:30:28
0
fahad_.fk
FAHAD 🖤 :
♥️♥️♥️
2025-12-29 00:21:39
0
nakeeb946
NakeeB Shanii🙃 :
♥️♥️♥️
2025-12-16 14:29:53
0
adeelkhawaja39
عدیل وحید_39 :
😘😘😘
2025-11-23 12:58:55
1
ahtishamjutt275
엣참잗 🇰🇷 :
tm na pahly baat kar di ha ka wo kirdaar badlny ma mahir ha to obvisouly agr tm kahani badlo gy to wo apna kirdaar badal dy ga phir ap kia kro gy? asal ma krna ap ko ha ku ka us ka kaam kirdaar badlna ha us ka liy easy ha ap ka liy muskil ha
2025-11-24 06:49:05
1
niazilog5
niazilog5 :
❤👑
2025-12-14 18:06:38
0
To see more videos from user @maadu_707, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ubora wake unamfanya atambulike kama mmoja wa makipa bora zaidi barani Afrika kwa sasa.  Diarra ana sifa ya kisasa ya kuwa Sweeper-Keeper, ana utulivu mkubwa anapokuwa na mpira miguuni na ana uwezo wa kuanzisha mashambulizi kwa usahihi wa hali ya juu akitokea nyuma, Pasi zake fupi kwa mabeki na mipira yake mirefu inayolenga washambuliaji imekuwa silaha kubwa ya kimbinu kwa timu yake.  Kuna wakati amekuwa akionyesha hasira na jazba kali uwanjani, hasa pale timu yake inapofungwa goli au pale anapohisi waamuzi hawajatenda haki. Lakini sifa kubwa inayomtofautisha na makipa wengine ni ule uwezo wake wa kuzungumza na kuongoza safu yake ya ulinzi, Diarra anajua namna ya kuwapanga mabeki wake, kuamuru maeneo ya kukaa, na kuwapa ujasiri pindi wanapokabiliwa na washambuliaji hatari, hii inafanya ukuta wake kuwa mgumu kupenyeka.  Ana ustadi wa Kuokoa Michomo, ana wepesi wa mwili na uwezo mkubwa wa kujipanga langoni, Mara kwa mara amekuwa akiibeba Yanga na Timu ya Taifa ya Mali kwenye mechi kubwa kwa kuokoa mashambulizi ya hatari ya ndani na nje ya kisanduku.  Ana ukomavu wa hali ya juu na hana MAWENGE hata timu inapokuwa kwenye presha kubwa, anajua namna ya kusoma mchezo, kudhibiti kasi ya mechi, ana mbinu nyingi hata kuchelewesha muda pale inapohitajika ili kuilinda timu yake. Hali hii imemfanya kuendelea kuaminika kama kipa chaguo la kwanza kwenye kikosi cha Mali, ambacho kimejaa wachezaji wanaocheza soka la kulipwa barani Ulaya.  Kutokana na viwango hivi, anatajwa kama kipa asiye na mpinzani wa karibu kwa sasa kwenye Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania: #viralvideo #yangasc #sports

About