@elifurahasingo4: Wimbo wa Kipare (hymnal no 379). Wimbo huu unasisitiza sisi kama wasafiri kwenda Mbinguni, tusichoke kukaza mwendo na kufanya kazi ya Mungu ili tufike haraka. Maana siku zinakimbia, mwisho unakaribia. Tusiangalie nyumba maana hapa sio nyumbani kwetu, na tujipe Moyo kwa kuwa kuna wenzetu kama Elia, Musa na Enoki ambao wamefika, sisi tupambane katika vita hii tutashinda kwa nguvu za Yesu. 🙏🙏 Barikiwa sana unaposikiliza huu ujumbe. 🤝🙏🙏"#sdachurch #sdamusic #sdasongs #sdaworldwide #tiktokafrica