@stephkeenan1: #fyp #foryoupage

steph
steph
Open In TikTok:
Region: AU
Sunday 21 December 2025 07:04:35 GMT
34345
1097
4
6

Music

Download

Comments

andyc_85
AndyC_85 :
Are you training for a triathlon?
2025-12-21 07:17:29
0
beachlife8888
Beachlife888 :
😂😏🤩
2025-12-21 15:56:36
0
kazdeane
Kevin Deane :
😍😍😍
2025-12-21 15:02:31
0
jack19.0
Jack :
🥰
2026-01-10 07:42:05
0
To see more videos from user @stephkeenan1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Malori Tanzania (CHAWAMATA), Nuhu Mgodoka, amesema changamoto nyingi zinazowakabili madereva wa malori nchini zinachangiwa kwa kiwango kikubwa na madereva wenyewe kutokana na kukosekana kwa umoja, mshikamano na hatua za pamoja katika kutetea maslahi yao. Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kufuatia taarifa iliyochapishwa na Gazeti la Mwananchi na baadaye kunukuliwa na CHAWAMATA TV, Mgodoka alisema lengo la kurusha taarifa hiyo halikuwa kuhalalisha yaliyomo, bali kuibua mjadala na kuwafanya madereva kutafakari namna taarifa zinazotolewa na baadhi yao zinavyoweza kuathiri juhudi za viongozi wanaowatetea. Alisema badala ya madereva kuishia kubishana kwenye makundi ya WhatsApp na mitandao ya kijamii, wanapaswa kutumia vyombo vya habari kutoa ufafanuzi na ushahidi unaokanusha taarifa ambazo wanaamini si sahihi. Kwa kufanya hivyo, hoja zao zitafika kwa umma na kwa mamlaka zinazohusika badala ya kubaki kwenye mijadala isiyoleta matokeo. Mgodoka alieleza kuwa mara nyingi viongozi wanapowasilisha malalamiko kuhusu mishahara midogo na mazingira magumu ya kazi, hukutana na upinzani pale baadhi ya madereva wanapotoa taarifa zinazopingana na uhalisia wa wengi, jambo linalodhoofisha hoja za kutetea maslahi ya sekta hiyo. Aidha, alisema changamoto za madereva haziwezi kumalizika bila umoja wa kweli, akisisitiza kuwa ubinafsi, kugawanyika na kushindwa kusimama pamoja ni miongoni mwa sababu zinazorudisha nyuma harakati za kudai haki na kuboresha maslahi ya madereva nchini. Katika wito wake, Mwenyekiti huyo wa CHAWAMATA aliwataka madereva kufanya tathmini ya nafasi yao katika mapambano ya kutetea maslahi yao, kushirikiana na taasisi zinazowawakilisha, na kuacha migogoro isiyo na tija ili kujenga sauti moja yenye nguvu itakayosaidia kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya usafirishaji. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #madeintanzania#madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz

About