@comediaviral_ofc: O verdadeiro motivo pelo qual Messi cobriu todas as pernas com tatuagens 😳 #messi #argentina #vocesabia #curiosidades

Comédia viral
Comédia viral
Open In TikTok:
Region: BR
Saturday 27 December 2025 16:28:56 GMT
31411
442
2
20

Music

Download

Comments

user2181440221274
José Da Silva :
😁😁😁
2025-12-27 20:21:05
1
kaique.leonardo.b
kaique_do_grau_244 :
2025-12-27 21:08:10
1
To see more videos from user @comediaviral_ofc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mwenyekiti wa  Chama cha Waendeshaji wa Utalii Tanzania (TATO), Wilbard Chambulo,  amesema Tanzania inaweza kuongeza ushindani wake katika sekta ya utalii  kwa kuondoa vikwazo vinavyochelewesha safari za watalii, hususan kupitia  uwekezaji katika miundombinu na kurahisisha huduma za uhamiaji. Akizungumza  katika uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo  2050, Chambulo alisema sekta ya utalii inategemea zaidi urahisi wa  safari na uzoefu wa mgeni kuliko taratibu ndefu zinazoweza kumkatisha  tamaa kabla hajafika katika vivutio vya utalii. Alitolea mfano  watalii wanaotembelea Maasai Mara nchini Kenya na baadaye kutaka kuingia  Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, akisema wengi wao hulazimika kupitia  Nairobi, kisha Kilimanjaro na Arusha kwaajili ya taratibu za uhamiaji  kabla ya kufika Serengeti. Alisema mlolongo huo huongeza gharama na muda  wa safari, hali inayoweza kuwafanya baadhi ya wageni kuahirisha au  kuacha kabisa safari yao ya Tanzania. Kwa maoni yake, kujengwa  kwa Kiwanja cha ndege katika eneo la Mugumu, Mkoani Mara pamoja na  kuweka huduma huduma za uhamiaji kutawezesha watalii hao kuingia moja  kwa moja Serengeti kutoka Maasai Mara, hatua ambayo itapunguza usumbufu  na kuongeza ushindani wa Tanzania katika soko la utalii la Afrika  Mashariki. Akihitimisha, Chambulo alisema Tanzania tayari ina  vivutio vinavyotambulika kimataifa, ikiwemo Serengeti na Zanzibar, na  kwamba kuboresha miundombinu pamoja na kurahisisha taratibu za kuingia  nchini kutasaidia kuongeza idadi ya Watalii na mapato yatokanayo na  sekta hiyo.

About