@wajanjaforum: Jinamizi: Kwanini uko macho lakini unashindwa Kunyanyuka Usiku. 🛌💤 Ushawahi kuhisi kuna mtu mzito amekukalia kifuani usiku? Kabla hujatafuta mchawi, elewa hili: Mwili wako unapoingia usingizi mzito (REM Sleep), ubongo huzima misuli yote ili usirushe mikono ovyo ukiwa unaota. Jinamizi (Sleep Paralysis) inatokea pale unapoamka ghafla lakini mwili bado umeganda kwenye "Mode ya Usingizi". Kwa sekunde kadhaa, unakuwa macho lakini hauwezi kutingishika. Hofu unayopata ndiyo inatengeneza hizo picha za kutisha. 🧟‍♂️❌ Jifunze zaidi kwa ku-follow @Wajanjaforum Facebook na Instagram. . . #ScienceFacts #HealthTips #Bongo #Wajanja #Ndoto #MaajabuYaMwili

Wajanjaforum.com
Wajanjaforum.com
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 January 2026 12:02:58 GMT
68418
2326
55
319

Music

Download

Comments

chawabrand
Chawa Brand097 :
jinamizii langu NI htr
2026-01-16 12:29:53
6
user2103881347223
GPS :
mung ni fund san
2026-02-01 20:45:43
3
shedyz77
shedyze tz :
ili kuepukana na hiyo hali usilale chali
2026-02-15 07:24:05
4
stellah.stellah07
Stellah Stellah :
uongo huo mbona nilikemea kwa jina la YESU ikatoka hivo hali
2026-03-05 14:45:28
1
oscarlucars5
MWANAHARAKATI :
ukiwa na usingizi wa ma ng'am ng'am hii Hali utaishuhudia hata mchana ukijiegesha tu Kuna jambo nimejifunza hapo
2026-02-09 14:56:21
3
user1634851178001
hassan kuchi :
upo sahihi sana,Mimi inanitokea sana Hali hii mara kwa mara
2026-02-03 15:40:14
1
djmuuuh
@dj muuuh255 :
naomba kuliza tofauti ya akili na ubongo ni nin ?
2026-03-02 12:31:37
0
michaell_.7
Michael :
kuna mambo mengi sana huwatikea watu na kuzani ni uchawi lakini si kweli bali ni ukosefu wa elimu.
2026-02-26 08:40:47
1
queen.latifa3852
Queen latifa :
mhh hii ni hatari km umeme hautarudii tena ndo ushafika 😳😳😳
2026-02-08 13:10:35
0
zyrelle225
#𝓜𝓪𝔂𝓪🦋 :
yan meme kabisa
2026-02-06 06:34:43
1
harunashaka819
Huncho :
huwa nasumbuka sana 😂
2026-02-10 11:17:01
1
paul_akwilini
Paul Assen :
NA HUU NDIO UKWELI. AKILI INAAMKA KABLA YA MWILI
2026-02-20 20:42:27
2
amosika6545
A-M-O-KG7 :
kweli kabisa
2026-01-31 09:57:22
0
pantaboy45
✨📌panta boy💥✨ :
amna ikitokea hiyo hali jua uko unawangiwa
2026-02-08 15:11:52
1
damsonkayugwa
Damson Kayugwa :
utuachie na sisi tuchukue video na tusambaze kwa wengine wajifunze
2026-03-02 12:08:28
0
maulidimpili8
BOSI WA FAMILIA :
dah upo sahihi sana
2026-01-20 13:39:14
1
salmamsogoti1
Salma Msogoti :
duuuh mm nasomaga dua zote najua ndio bye bye 👋👋 yaan nikiamka apo huwa silali tenaaa ata iweje
2026-02-25 22:32:01
0
judithmassawe7
Judy :
kumbe
2026-02-22 18:17:32
1
faustinekilulumo
Faustini Kilulumo :
kwa nini hutokea ukiwa umelala chali pekee kitaalamu imekaaje ?
2026-02-25 13:38:56
0
emmanuel_africa
emmanuel africa :
Akili pana sana imetumika 💪💪
2026-02-01 22:17:36
0
majaliwa.leonatus
majaliwa leonatus mganda :
usidanganye watu hiyo hali ni yakutekwa kemea kwa jina la Yesi
2026-03-07 19:16:14
0
gloriakileo
Gloria Kileo :
nistuka usingizini.. mikaona kizunguzungu kikali sanaaa.. yani nkaona kama chumba kinazunguka..
2026-03-02 07:35:13
0
konjestakessy
De Paul :
ni vichawi bhnaaa
2026-03-06 06:49:46
0
josephjrm255
Joseph JRM 🇹🇿 :
ilishawahi nikuta hii, sio poa
2026-03-03 06:27:16
0
khalidirajabu369
Ramaphossa :
Dah sawasawa kbs😅
2026-02-06 17:40:09
0
To see more videos from user @wajanjaforum, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About