@shark_tz1: Uyu Mtoto Kanishinda Tabia😅😅😅😅😅😅PART 1 #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #funny #funnytiktok

ᴠͥɪͣᴘͫ•sʜᴀʀᴋ☻⃟🎭
ᴠͥɪͣᴘͫ•sʜᴀʀᴋ☻⃟🎭
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 February 2026 14:35:47 GMT
191755
9415
495
2125

Music

Download

Comments

ndimo255
@official_ndimo :
Hakikisha hawakuelewi kama ushahidi haujakamilika😂😂
2026-02-08 20:00:29
246
_gracious29
gracious29 🦋💙 :
naturaly wanaume ni waongo jaman🥺
2026-02-08 19:58:46
166
deltatango09
dioniz tigano :
kameanza kuhudhuria vikao vyetu 😂😂 1.hakun kikubali.
2026-02-09 03:58:47
60
flash.back5877
Flash back :
wanaume wote hatueleweki mwaka huu
2026-02-08 19:25:18
57
msafili.seif
Msafili Seif :
ukute hapo anajiona yuko mahakamani inabidi ajiteteee 😂😂😂😂😂😊
2026-02-08 20:10:07
36
joaotz11
JOÃO TZ 👑 :
Mwanaume ni Mwanaume tu hata akiwa mtoto😂😂😂
2026-02-08 20:15:57
65
mwakibinasalim
kizondo :
😂😂😂😂wasikuelewe ivyo ivyo
2026-02-08 18:35:56
19
sheilaburund1
Sheila 🇧🇮❤️ :
alafu Kuna mtu bado anamuamini mwanaume😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-02-08 22:43:41
7
user3702743702592
Joshua paul :
dogo cuseme walinaviazi
2026-02-08 20:15:56
18
kennethsoko228
K E N S O :
nimecheka sana nimeangalia mala kumi😅😅😅
2026-02-08 17:44:02
10
user9993412622663
MR LENNY :
hakikisha awakuelewi mpaka ukue 🤣🤣🤣
2026-02-08 20:06:34
11
r.j.boy07
R J BOY 💓 :
haitakiwi uweleweke.😂😂😂
2026-02-08 20:01:38
6
sarahobama09
sarahobama2 :
Tunajibu kulingana na swali lako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-08 20:20:43
6
khamzakor
JJ :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwanaume hutakiwi kueleweka😂😂😂😂unakataaa Hadi mwisho
2026-02-09 12:29:55
7
maryamkhamissalim0
love beby 🥰🤫🤫🥺 :
Huyu mtoto watakuja kuwa hatar san kwa wadada haeleki kabisa 😂😂
2026-02-08 20:16:24
5
brunodamian743
Bruno Damian743 :
DOGO kesho asubuhi wahi ofisini KAZI UMEPETA 😂😂
2026-02-08 20:29:23
6
victoriacharles40
Victoria Charles :
😂😂😂jmn
2026-02-09 07:21:36
13
g335155
g :
😂😂dogo kazia hapohapo kwenye wali na kiazi had tuchanganyikiwe😂😂
2026-02-09 05:17:15
5
carengag
Caren G :
Wanaume Kumbe Kutoeleweka Wanaanziaga Udogo🤣🤣
2026-02-09 08:36:27
8
heshima659
HESHIMA :
hiyo ni hatua nzuri kwa mtoto, ni hatua ya ukuaji kiakili. ameanza kugundua kua wewe mzazi huna uwezo wa kujua kila kitu, hivyo inawezekana yeye kuwa chanzo cha taarifa sahihi
2026-02-09 06:46:10
23
user19995145537742
💗💔💗💔 :
yaan anamaanisha Kala wali kiasii( wastan) 😂😂
2026-02-08 20:14:10
8
yusra.rashidi7
Yuraa💕 :
kapo serious chenyewe 😅
2026-02-08 20:34:03
4
depride06
pavinda :
🤣🤣🤣🤣 dogo miyeyusho
2026-02-08 20:30:55
3
dj.gido.30
DJ gido 30 :
uyo dogo anaelekea kuwa kama mponeke
2026-02-08 20:31:22
2
zumbezedon.mkonje
CASCARABIAS MKONJE :
Nachanganyikiwa mjukuu wenu😂😂😂🤣🤣
2026-02-09 05:05:06
2
To see more videos from user @shark_tz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About