Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@guiniguini531: 너무 예쁜 내 영재 ❤︎ #TWS #투어스 #YOUNGJAE #영재 #다시만난오늘 @TWS
기니기니
Open In TikTok:
Region: KR
Wednesday 11 February 2026 11:17:30 GMT
4224
813
3
81
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.83MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.3MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
sambel teri :
MY PRETTY BOYYYYY
2026-02-14 01:19:06
8
:
최영재 얼굴 역사에 남아야할듯
2026-02-13 00:46:43
2
KHINLAy :
☺️☺️☺️
2026-02-11 14:35:46
4
To see more videos from user @guiniguini531, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Ili usiwe mtu wa madeni ni lazima utoke kwenye akili ya madeni uingie kwenye akili huru ambayo itakufanya madeni yaishe Kama umechoka kuwa na madeni chungu nzima fanya hivi 1. Epuka kukopa kwenye kausha damu, hizi zinazoitwa Microfinances. Kukopa kwenye kausha damu ni kosa kubwa ambalo unaweza kulifanya na likagharimu pesa zako nyingi. Microfinances zinatoza ruba kubwa, kuendelea kukopa kule ni kujipalia mkaa, ni bora utafute mbinu mbadala ukope hata kwa marafiki badala ya Microfinances 2. Epuka kukopa kwa njia ya simu kwenye App zinazokopesha na hata hizi Songesha, au Niwezeshe. Hizi pamoja na kukutoza riba kubwa lakoni kuna makato ya simu ambayo huyapigii hesabu ambayo pia yanakugharimu pakubwa bila kujua na yanaendelea kukuweka kwenye madeni ya kudumu siku zote 3. Kama una madeni mengi yanazozalisha riba kila kukicha, Tafuta mkopo mmoja mkubwa wa riba nafuu halafu yalipe hayo madeni madogo madogo yote. Ni bora ukabaki na deni moja kubwa lenye riba nafuu kuliko kuwa na vimadeni vingi vingi ambavyo vinakupa mawazo na vinatoza riba kubwa. 4. Epuka kufanya top up, yaani kuhamisha deni kutoka bank moja kwenda nyingine. Hii nayo ni hatari kubwa sana ambayo naona watumishi wengi wanafanya. 5. Epuka michezo ya bahati au upatu kama vile Betting na Kindege Michezo hii inakuahidi kupata pesa na huku ukiendelea kupoteza fedha zako, kama.uko kwenye madeni ni rahisi sana kujikuta unacheza michezo ya bahati ili ubahatike kumbe ndo unajiingize kwenye dimbwi kubwa la maji ufe. 6. Punguza matumizi yasiyo ya lazima. Matumizi yasiyo ya lazima Kama kukaa online 24/7, kununua vitu visivyo vya lazima nk yanaweza kuendelea kukuweka kwenye hali ya madeni ya kudumu. Usinunue vitu kwa mihemko kilakitu kiwe ndani ya budget 7. Acha kuhonga, kulewa kupita kiasi, na kwenda club. Bila msingi. 8. Achana na roho za ushirikina, uganga na uchawi maana hizo roho na madeni ni hivi 9. Mtangulize Mungu Mbele katika kila hatua, sali asubuhi, mchana na jioni uondokane na roho hiyo ya madeni #fy
♥️🫶🏻#viralvideo #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚
#foryoupageofficiall
Are you single? #fyp #foryou
Skala Rainbow 🌈 #skala #hairwash #asmr #asmrhair #skalahaircare
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy