@camtu25_: Mê bài này lắm nè 😂 #duyennocondau #cover

Bánh ú
Bánh ú
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 26 February 2026 14:04:00 GMT
592
55
2
3

Music

Download

Comments

tuandang_239
Ngọt LC :
🥰🥰🥰
2026-02-26 15:04:37
0
hoangu753188247612
Hoa Nguyen :
😂😂😂
2026-02-27 13:28:21
0
To see more videos from user @camtu25_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🚨 TAHADHARI: FORM 4 ASIENDE ADVANCE UNAMCHELEWESHA 🚨 Selection za wanafunzi waliomaliza Form 4 mwaka jana zimetoka. Wengi wamechaguliwa Diploma. Wengine wamechaguliwa Advance. Sasa jiulize swali moja tu... Kwanini serikali imeamua kuweka kipaumbele Diploma kuliko zamani? Ukishamaliza kujiuliza... Endelea kusoma. Tatizo la wazazi wengi ni kwamba bado wanaamini njia pekee ya kufika Degree ni: Form 4 → Form 5 → Form 6 → Bachelor Degree Lakini dunia imebadilika. Leo hii kuna njia nyingi zaidi za kufika chuo kikuu. Na baadhi yake ni fupi kuliko njia ya kawaida. Nimekutana na wazazi wengi ambao watoto wao wamepata Division nzuri Form 4 lakini bado wanasisitiza waende Advance hata kama hawana uhakika wa kozi watakayosoma baadae. Miaka miwili inapita. Mtoto anamaliza Form 6. Halafu ndipo safari ya kutafuta kozi inaanza. Wakati huo wenzake wengine tayari wako mwaka wa pili au wa tatu chuoni. Kwa wanafunzi wa Business na Arts, moja ya njia fupi zaidi duniani ni Foundation Programme. Nchini Dubai na UK, mwanafunzi anaweza kusoma Foundation kwa mwaka mmoja tu na kuingia Bachelor Degree. Ndiyo, gharama zake ni kubwa zaidi, mara nyingi kuanzia dola 15,000 kwa mwaka na kuendelea. Lakini muda anaookoa ni mkubwa sana. Kwa upande wa Diploma, kuna jambo ambalo wazazi wengi hawajui. Kama mtoto wako alikuwa na hesabu O-Level, moja ya Diploma zenye future kubwa sana ni: 💻 Diploma in Computer Science Hii si diploma ya mazoea. Ni diploma inayoweza kufungua milango ya: 🤖 Artificial Intelligence 🔐 Cyber Security 📊 Data Science ☁️ Cloud Computing na taaluma nyingine nyingi za teknolojia zinazokua kwa kasi duniani. Kupitia Akili Education, Diploma in Computer Science inapatikana nchini India. Ni ya miaka 3. Na gharama yake ni kuanzia: 💰 Milioni 8 kwa mwaka ikijumuisha: Ada, malazi na chakula. Baada ya diploma, mwanafunzi anaweza kuendelea moja kwa moja kwenye Bachelor Degree ya teknolojia yenye future kubwa duniani. Hakuna maamuzi makubwa utakayochukua mwaka huu kama mzazi kuliko kuamua mtoto aliyemaliza Form 4 aende wapi. Maamuzi hayo yanaweza kuathiri miaka 10 au 20 ijayo ya maisha yake. Usifanye maamuzi kwa mazoea. Fanya maamuzi kwa taarifa. Karibu Akili Education tukuongoze usije kupotea. 👇 Comment neno
🚨 TAHADHARI: FORM 4 ASIENDE ADVANCE UNAMCHELEWESHA 🚨 Selection za wanafunzi waliomaliza Form 4 mwaka jana zimetoka. Wengi wamechaguliwa Diploma. Wengine wamechaguliwa Advance. Sasa jiulize swali moja tu... Kwanini serikali imeamua kuweka kipaumbele Diploma kuliko zamani? Ukishamaliza kujiuliza... Endelea kusoma. Tatizo la wazazi wengi ni kwamba bado wanaamini njia pekee ya kufika Degree ni: Form 4 → Form 5 → Form 6 → Bachelor Degree Lakini dunia imebadilika. Leo hii kuna njia nyingi zaidi za kufika chuo kikuu. Na baadhi yake ni fupi kuliko njia ya kawaida. Nimekutana na wazazi wengi ambao watoto wao wamepata Division nzuri Form 4 lakini bado wanasisitiza waende Advance hata kama hawana uhakika wa kozi watakayosoma baadae. Miaka miwili inapita. Mtoto anamaliza Form 6. Halafu ndipo safari ya kutafuta kozi inaanza. Wakati huo wenzake wengine tayari wako mwaka wa pili au wa tatu chuoni. Kwa wanafunzi wa Business na Arts, moja ya njia fupi zaidi duniani ni Foundation Programme. Nchini Dubai na UK, mwanafunzi anaweza kusoma Foundation kwa mwaka mmoja tu na kuingia Bachelor Degree. Ndiyo, gharama zake ni kubwa zaidi, mara nyingi kuanzia dola 15,000 kwa mwaka na kuendelea. Lakini muda anaookoa ni mkubwa sana. Kwa upande wa Diploma, kuna jambo ambalo wazazi wengi hawajui. Kama mtoto wako alikuwa na hesabu O-Level, moja ya Diploma zenye future kubwa sana ni: 💻 Diploma in Computer Science Hii si diploma ya mazoea. Ni diploma inayoweza kufungua milango ya: 🤖 Artificial Intelligence 🔐 Cyber Security 📊 Data Science ☁️ Cloud Computing na taaluma nyingine nyingi za teknolojia zinazokua kwa kasi duniani. Kupitia Akili Education, Diploma in Computer Science inapatikana nchini India. Ni ya miaka 3. Na gharama yake ni kuanzia: 💰 Milioni 8 kwa mwaka ikijumuisha: Ada, malazi na chakula. Baada ya diploma, mwanafunzi anaweza kuendelea moja kwa moja kwenye Bachelor Degree ya teknolojia yenye future kubwa duniani. Hakuna maamuzi makubwa utakayochukua mwaka huu kama mzazi kuliko kuamua mtoto aliyemaliza Form 4 aende wapi. Maamuzi hayo yanaweza kuathiri miaka 10 au 20 ijayo ya maisha yake. Usifanye maamuzi kwa mazoea. Fanya maamuzi kwa taarifa. Karibu Akili Education tukuongoze usije kupotea. 👇 Comment neno "DIPLOMA" tukutumie muongozo wa options zinazopatikana kwa mwanafunzi wa Form 4.

About